Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

Acha kupotosha wewe mbowe ndo mwamba wa siasa hapa nchini na hayo maneno labda kama unambowe wako huko kwenu aliyesema hivyo sawa.
Acha mihemko wewe, rudia clip ya Jana, amesema angalau sa100 ana sikio la kusikia.
 
Labda mzee wa ubwabwa n mpe maana chadema n vibaraka kama ccm
Huyu?
JamiiForums543465544.jpg
 
Unashabikia usichokijua. Ni madhara ya kushikiwa Akili. Tafakari uhuni wa chadema kwanza nje ya Box.

Hawa ndio walituambia nchi inaibiwa sana.
Tanzania haina ndege. Madini yanaibiwa. Ufisadi umekithiri.

Alipokuja Magufuli. Akapambana na yote Ambayo wao chadema walikua wakiyapigia kelele. Wakabadili gia Angani na kuanza kudai demokrasia. Na kumchafua Magufuli.

Walimtukana kila maali. Hapa sisi wenye Akili tukangamua na kuunga mkono juhudi ya Magufuli na uzalendo wake.

Sasa Ai hitaji hata Akili ya chekechea kuwangamua hawa matapeli wa siasa. Amka Ndugu wacha ujinga wa kutokufikiri.
mpumbavu ni wewe na ccm yako yote na sio chadema ndio maana huyo mkapa wenu kwa ulofa na upumbavu wake hakuendelea kuishi hapa dunian maana Mungu aliona ni lofa bora atoweke na nyie malofa wachache mliobaki ni wala la muda tu.
 
Nyie chadema ni wapumbavu sana. Ninyi wakati Magufuli Alipokuwepo madarakani na akajaribu kupambana na mafisadi. Kudhibiti nidhamu kazini kujenga miradi mikubwa.

Nyie nyie mlikua mnampinga na kumtukana kila siku.

Aya kaja mama sasa. Mliekua mnamtaka. Mmeanza tena ujinga wenu. Nyie sio chama cha siasa Bali ni wahunitu.

Ndio maana Mzee Mkapa Aliwaita " Malofa na Wapumbavu"
Changia kama mtu mwenye akili timamu hata kama huna akili ya kiwango cha juu.

Kuua watu, kuteka, kutesa, kupora watu pesa zao, kuoba pesa ya Serikali na kuofanya yake binafsi, kuwapoteza watu wanaomkosoa, hayo yote wewe unaita ni udhibiti wa nidhamu na kupambana na ufisadi.

Marehemu, tumshukuru sana Mungu kwa kuweza kumwondoa kwenye madaraka kwa namna ambayo wengi hatukufikiria. Alikuwa ni mtawala katili, alitekosa hekima, mtawala juha, aliyeongoza kwa uwongo na hadaa, na wajinga wengi aliwapata kwa hadaa zake.

Ni wapi ambapo Magufuli alifanya vizuri?

1) Kuangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% hadi 4%?

2) Kuangusha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%?

3) Kuangusha thamani ya mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa 50%?

4) Kupora pesa zaidi ya trilioni 1.5 za Serikali na kwenda kuzificha nyumbani kwake?

5) Kuwafunga matajiri, na kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi, kisha kuwalazimisha kununua uhuru wao kwa pesa aliowapangia yeye na wakala wake, mganga, na kisha pesa yote kuipora yeye binafsi?

6) Kupunguza speed ya ujenzi wa barabara za lami, toka zaidi ya 12,000km za mtangulizi wake mpaka 2,800km tu mpaka anafariki?

Wsjinga wataendelea kumhusudu, na siyo jambo la ajabu, maana hata majambazi huwa yana watu wanaowaona ni wakombozi wao. Kwa baadhi ya watu, jambazi sugu ni shujaa, lakini kwa wenye akili timamu, jambazi sugu, ni mwovu kupindukia.

Wakati tunamshukuru Mungu kwa matendo yake makuu ya kumwondoe mtawala mwovu, tuendelee kumwomba Mungu awajalie moyo wa ujasiri mkuu ndugu, wanafamilia na marafiki wa wale wote ambao marehemu aliwaua au kuwapoteza. Wafarijike na tendo kuu la Mungu, maana yule kiongozi mwovu, kule alikodhani anawapeleka kuwakomesha wakosoaji ili wasimkosoe tena, naye ndiko alikoenda.
 
Dosari kubwa ya kwanza ni yeye Jaji Mkuu kutokuwa na sifa ya kuwa Jaji Mkuu.

Yaani huyu, mara nyingi wakati wa uongozi wa Magufuli, kila wakati alikuwa akikutana na kufanya vikao vya siri na viongozi wakuu wa CCM, hasa Katibu Mkuu na Katibu mwenezi, wakipanga majaji wa kusikiliza kesi za wapinzani, na kukubaliana namna mahakama inavyotakiwa kuwatendea ili kuwakomoa wapinzani. Wakamweka Simba kuwa msajili wa mahakama ili awe anawapanga majaji makada wenzie wa CCM na wale maafisa wasiojulikana walioingizwa mahakamani na marehemu ili kutekeleza maagizo yake.

Huyu jaji wa sasa ni miongoni mwa viongozi wa hovyo kabisa ambao mahakama ya Tanzania imewahi kuwa nao.

Huyu, hui kauli yake ni ya kinafiki, lakini haina dhamira yoyote ya kubiresha mahakama, maana kama ukifanyika uboreshaji wa kweli, yeye mwenyewe anastahili kuondolewa kwa kukosa sifa, kwa vitendo vyake vya kuifanya mahakama kuwa ni taasisi ya CCM.
 
Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena.

Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli haupo hivyo tudhanivyo bali Chadema walijipa tu mda wa kuona yaahidiwayo na Samia na CCM yake yakitimu jambo ambalo hadi leo blah-blah ni nyingi pasipo matendo.

Tuitarajie CHADEMA inayoenda kumsumbua Samia isivyokuwa ikitarajiwa!

Fimbo ya CHADEMA kumchapia Samia imerahisishwa na yafuatayo:

Ukosefu wa umeme wa uhakika, ukosefu wa maji safi na salama hasa Dar es Salaam, miradi mingi ya umeme vijijini kukwama, rushwa na ufisadi kurejea kwa kasi, huduma za afya kuendelea kuwa duni, mafisadi kurejeshwa kwenye mstari na GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA HASA MFUMKO WA BEI WA MAHITAJI MUHIMU.

2023 na kuendelea itakuwa ni uwanja mchungu wa mapambano kwa Samia.
Kwa sasa sitaki tena kusikie hilo jina!

Kwani mambo yamekuwa moto
 
Changia kama mtu mwenye akili timamu hata kama huna akili ya kiwango cha juu.

Kuua watu, kuteka, kutesa, kupora watu pesa zao, kuoba pesa ya Serikali na kuofanya yake binafsi, kuwapoteza watu wanaomkosoa, hayo yote wewe unaita ni udhibiti wa nidhamu na kupambana na ufisadi.

Marehemu, tumshukuru sana Mungu kwa kuweza kumwondoa kwenye madaraka kwa namna ambayo wengi hatukufikiria. Alikuwa ni mtawala katili, alitekosa hekima, mtawala juha, aliyeongoza kwa uwongo na hadaa, na wajinga wengi aliwapata kwa hadaa zake.

Ni wapi ambapo Magufuli alifanya vizuri?

1) Kuangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% hadi 4%?

2) Kuangusha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%?

3) Kuangusha thamani ya mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa 50%?

4) Kupora pesa zaidi ya trilioni 1.5 za Serikali na kwenda kuzificha nyumbani kwake?

5) Kuwafunga matajiri, na kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi, kisha kuwalazimisha kununua uhuru wao kwa pesa aliowapangia yeye na wakala wake, mganga, na kisha pesa yote kuipora yeye binafsi?

6) Kupunguza speed ya ujenzi wa barabara za lami, toka zaidi ya 12,000km za mtangulizi wake mpaka 2,800km tu mpaka anafariki?

Wsjinga wataendelea kumhusudu, na siyo jambo la ajabu, maana hata majambazi huwa yana watu wanaowaona ni wakombozi wao. Kwa baadhi ya watu, jambazi sugu ni shujaa, lakini kwa wenye akili timamu, jambazi sugu, ni mwovu kupindukia.

Wakati tunamshukuru Mungu kwa matendo yake makuu ya kumwondoe mtawala mwovu, tuendelee kumwomba Mungu awajalie moyo wa ujasiri mkuu ndugu, wanafamilia na marafiki wa wale wote ambao marehemu aliwaua au kuwapoteza. Wafarijike na tendo kuu la Mungu, maana yule kiongozi mwovu, kule alikodhani anawapeleka kuwakomesha wakosoaji ili wasimkosoe tena, naye ndiko alikoenda.
Irudie akili yako ya 2015!

Ondokana na huu ujinga uliokushika mkuu
 
Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena.

Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli haupo hivyo tudhanivyo bali Chadema walijipa tu mda wa kuona yaahidiwayo na Samia na CCM yake yakitimu jambo ambalo hadi leo blah-blah ni nyingi pasipo matendo.

Tuitarajie CHADEMA inayoenda kumsumbua Samia isivyokuwa ikitarajiwa!

Fimbo ya CHADEMA kumchapia Samia imerahisishwa na yafuatayo:

Ukosefu wa umeme wa uhakika, ukosefu wa maji safi na salama hasa Dar es Salaam, miradi mingi ya umeme vijijini kukwama, rushwa na ufisadi kurejea kwa kasi, huduma za afya kuendelea kuwa duni, mafisadi kurejeshwa kwenye mstari na GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA HASA MFUMKO WA BEI WA MAHITAJI MUHIMU.

2023 na kuendelea itakuwa ni uwanja mchungu wa mapambano kwa Samia.
Ukiangalia kwa jicho la tatu Rais Samia Suluhu anafanya maendeleo makubwa sana nchini lakini ukiangalia kwa jicho la chuki hautaona Chadema wakae kwa kutulia watanzania wote tunamuamini Rais wetu na tunajua atatufikisha tunapotaka
 
Nyie chadema ni wapumbavu sana. Ninyi wakati Magufuli Alipokuwepo madarakani na akajaribu kupambana na mafisadi. Kudhibiti nidhamu kazini kujenga miradi mikubwa.

Nyie nyie mlikua mnampinga na kumtukana kila siku.

Aya kaja mama sasa. Mliekua mnamtaka. Mmeanza tena ujinga wenu. Nyie sio chama cha siasa Bali ni wahunitu.

Ndio maana Mzee Mkapa Aliwaita " Malofa na Wapumbavu"
Chadema wameshazoea kulalamika hawajai kuona zuri yani wanaweza wakakwambia mpaka mabaya ya Nyerere hahha tumeshawazoea lakini sasa watanzania hatuyumbishwi tunajua Rais Samia Suluhu ndio kiongozi anaestahili
 
Nyie chadema ni wapumbavu sana. Ninyi wakati Magufuli Alipokuwepo madarakani na akajaribu kupambana na mafisadi. Kudhibiti nidhamu kazini kujenga miradi mikubwa.

Nyie nyie mlikua mnampinga na kumtukana kila siku.

Aya kaja mama sasa. Mliekua mnamtaka. Mmeanza tena ujinga wenu. Nyie sio chama cha siasa Bali ni wahunitu.

Ndio maana Mzee Mkapa Aliwaita " Malofa na Wapumbavu"
Kuna ufisadi gani alipambana nao magufuli.Ni pumbavu kama wewe peke yake anayeweza kuamini ule usanii.Kama uliamini ule ujinga wewe nae ni pumbavu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chadema haina ubavu wa kumtikisa mh Rais mama Samia,Haina nguvu hiyo Wala uwezo huo, chadema Ni chama kilichojichokea,Ni chama kilichokosa dira na muelekeo.

Ni chama kilichokosa safu ya uongozi ya kuaminika na kusikilizwa, Ni chama kisicho na muunganiko, Ni chama kilichokosa miziz.

Ni chama kilichopuuzwa na watanzania. Ni chama kisicho na Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya mtanzania mnyonge,Ni chama kinachofuata matukio

Watanzania wana Imani na CCM na serikali ya ccm chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa CCM ndio chama chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama kilichoonyesha kwa matendo kuwa na uchungu na maisha ya mtanzania,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote
Wananchi wakikasirika wako tayari kuchagua hata mwehu. Ni vigumu kumshawishi Mama anayenunua Mchele 3000 kwa kilo Amchague Samia kwasababu tu Kuna Mkenya aliruhusiwa kusomba chakula chote.

Ni vigumu kumwambia mwananchi aliyelala gizani ampe mbunge Wa CCM kura sababu tu eti Mbowe mbaya.

Ni ngumu kumwambia kijana asiye na ajira aliyemaliza chuo 2015 mpaka Leo Hana future nzuri ampatie kura diwani Wa CCM eti kwasababu Mbowe kaka madarakani muda mrefu. CCM lazima ifanye kazi ya kumsaidia wananchi sio hizi blaa blaa za trat and trab
 
..Chadema sio tatizo kwa Ssh au Ccm.

..tatizo ni uwezo mdogo wa Ssh na Ccm ktk kutatua changamoto zinazoikabili nchi na wananchi wake.

..maisha yanazidi kuwa magumu huku idadi ya watu ikiongezeka kwa kasi.

..Umasikini unaongezeka kwa kasi kuliko unavyopungua. Uhalifu unakuwa sugu.

..Ssh na Ccm wameshindwa kutimiza matarajio na matamanio ya wananchi toka kwa serikali yao.

..Hali hii itamsumbua Ssh au yeyote yule atakayeongoza nchi yetu.
 
Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena.

Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli haupo hivyo tudhanivyo bali Chadema walijipa tu mda wa kuona yaahidiwayo na Samia na CCM yake yakitimu jambo ambalo hadi leo blah-blah ni nyingi pasipo matendo.

Tuitarajie CHADEMA inayoenda kumsumbua Samia isivyokuwa ikitarajiwa!

Fimbo ya CHADEMA kumchapia Samia imerahisishwa na yafuatayo:

Ukosefu wa umeme wa uhakika, ukosefu wa maji safi na salama hasa Dar es Salaam, miradi mingi ya umeme vijijini kukwama, rushwa na ufisadi kurejea kwa kasi, huduma za afya kuendelea kuwa duni, mafisadi kurejeshwa kwenye mstari na GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA HASA MFUMKO WA BEI WA MAHITAJI MUHIMU.

2023 na kuendelea itakuwa ni uwanja mchungu wa mapambano kwa Samia.
Mtesi namba moja wa S100 atakuwa S gang...Chadema watamalizia kwa kumsukuma mlevi tu.
Wabunge wengi wa ccm hawatarejea bungeni.
Cdm itapata wabunge wengi sana.
S100 anaweza kuvuka mstari mwekundu kwa msaada wa wazee wa pgo lkn baada ya uchaguzi mapambano mapya yataibuka yakianzia bungeni hadi mtaani
 
Nyie chadema ni wapumbavu sana. Ninyi wakati Magufuli Alipokuwepo madarakani na akajaribu kupambana na mafisadi. Kudhibiti nidhamu kazini kujenga miradi mikubwa.

Nyie nyie mlikua mnampinga na kumtukana kila siku.

Aya kaja mama sasa. Mliekua mnamtaka. Mmeanza tena ujinga wenu. Nyie sio chama cha siasa Bali ni wahunitu.

Ndio maana Mzee Mkapa Aliwaita " Malofa na Wapumbavu"

Magufuli ndio aliiongoza kuwapinga wapinzani. Na kwa taarifa yako Magufuli hakupambana na mafisadi, bali alipambana na matumizi ya neno fisadi. Hakuna mtu anapambana na ufisadi akawa adui wa uhuru wa habari na serikali ya uwazi. Katafute mahali pa kutetea lile dubwasha lako.

Kama ni kupambana na mafisadi wapinzani ndio walikuwa kikwazo, alipora uchaguzi na kujaza wanaccm kila mahali. Sio ndio muda mzuri wa wao kupambana na hao mafisadi sasa hivi, maana bunge hili ni la matakwa yake.
 
Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena.

2023 na kuendelea itakuwa ni uwanja mchungu wa mapambano kwa Samia.
Mtu ukihisaniwa, lazima utakumbuka fadhila!. Niliwahi kuuliza Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

Mama aliusikia wito huu na kuuitikia, akasamehe bila kuombwa msamaha na baada tuu ya msamehewa kusamehewa breki ya kwanza ni kibisha Hodi Ikulu kwenda kushukuru. Msamehewa huyu baada ya kusamehewa by now he is highly compromised!, sasa ni harmless kabisa, hawezi kusumbua tena, unless kama mtampumzisha pale akaingia Heche.
P
 
Back
Top Bottom