Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Mama naupiga mwingi tumpe ushilikiano
 
Sasa hii n sheria by law za madiwan au n tamko kutoka juu au n amrii tu za mtawala
 
Machinga gani katolewa town? Unazani ni rahisi hivyo?
Nenda kkoo alafu uje utuletee mlejesho km machinga wameondoka.
Ni mbwembwe ambazo haziwezekani kirahisi
Aiseee...wameamua kukomaa hivyo hivyo. Tatizo mtu anawaza akitoka hela ya kula atatoa wapi
 
Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjini
 
Kwamba mpaka tarehe hiyo bajaji na pikipiki zote ziwe mikoani
 
Acheni kuona kila kitu ni tatizo , wewe bodaboda anakukera nini akiingia mjini kutafuta riziki yake, au mnataka sasa waanze kuiba ili maisha ya watu yawe kama mbwa mtaani ?
Tuwaacheni vijana watafute hela, ipo siku maamuzi kama haya yatajutiwa na hakuna atakaepona hapo,
Baada mnakuja kusema vijana watanzania wavivu, kila jambo wanalo fanya watu nyie mnaona tatizo, machinga tatizo, hata hao viongozi soon wananchi watawaona ni tatizo na watatka kuliondoa tatizo hilo, ndipo utakapojua kwanini kuna nchi zilikuwa zikikimbilia Tanzania kutafuta kujificha.
Vijana wameona watumie walicho nacho kujitafutia ulaji wa kila siku halafu watu mnataka kuwafukuza utadhani Tanzanai inauchumi kama Ulaya kumve masikini wakutupwa wamejaa ila tu utanashati na kujitafutia ndo uamuzi waop wa kila siku.
Eti anakuja mwingine anasema kwa sababu za kiusalam,Kha.
Tuendelee kuchukulia mambo poa, ipo siku tutafutana na hakuna kaburi litajkalo achwa bila kufukuliwa siku hiyo.
 
Kwamba mpaka tarehe hiyo bajaji na pikipiki zote ziwe mikoani
Ni Kwa muda ... Upendo utaonekana tena 2025.muwe na uvumilivu. Mtaitwa wananchi, wazalendo, nk mmesikia ndugu zangu machinga,bodaboda na bajaji. Msiwe na wasiwasi 2025 ni karibu !!!
 
Backward thinking.
 
Tatizo nin mpaka zizuiwe kufika mjini
 
Kuna watu wameshiba humu ila kwa kua hawaja wahi kupambana hawataelewa umeandika nn.
 
Machinga ilianza hivyo hivyo. Kaa mkao wa kuondoka, usijipe moyo.
Zoezi ni la Nchi nzima.
 


Bado Makala Anawapanga Tu

Wapiga Kura Wangu Hapo Sasa Hivi Mzilankende
Angesema Hii Bhaghosha
 
baada ua hapo,nyumba za masikini ziondoke.
Tuache nyumba zote zenye hadhi ya kubaki mjini kama za kule mikocheni wanakoishi watoto wa mjini akina Makala na JK au kule nje ambako rais mwanamke anasema alishazurura sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…