Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama naupiga mwingi tumpe ushilikianoUpuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles
Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!
Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini
Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?
Huu Ni upumbavu
Warudi mpiji magole buza msigani kifuru ulongoniSasa wenye pikipiki wanaokaa mjini sijui itakuwaje.
Aiseee...wameamua kukomaa hivyo hivyo. Tatizo mtu anawaza akitoka hela ya kula atatoa wapiMachinga gani katolewa town? Unazani ni rahisi hivyo?
Nenda kkoo alafu uje utuletee mlejesho km machinga wameondoka.
Ni mbwembwe ambazo haziwezekani kirahisi
Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjiniIfikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu.
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms.
#PbOnSaturday
Ni Kwa muda ... Upendo utaonekana tena 2025.muwe na uvumilivu. Mtaitwa wananchi, wazalendo, nk mmesikia ndugu zangu machinga,bodaboda na bajaji. Msiwe na wasiwasi 2025 ni karibu !!!Kwamba mpaka tarehe hiyo bajaji na pikipiki zote ziwe mikoani
Backward thinking.Acheni kuona kila kitu ni tatizo , wewe bodaboda anakukera nini akiingia mjini kutafuta riziki yake, au mnataka sasa waanze kuiba ili maisha ya watu yawe kama mbwa mtaani ?
Tuwaacheni vijana watafute hela, ipo siku maamuzi kama haya yatajutiwa na hakuna atakaepona hapo,
Baada mnakuja kusema vijana watanzania wavivu, kila jambo wanalo fanya watu nyie mnaona tatizo, machinga tatizo, hata hao viongozi soon wananchi watawaona ni tatizo na watatka kuliondoa tatizo hilo, ndipo utakapojua kwanini kuna nchi zilikuwa zikikimbilia Tanzania kutafuta kujificha.
Vijana wameona watumie walicho nacho kujitafutia ulaji wa kila siku halafu watu mnataka kuwafukuza utadhani Tanzanai inauchumi kama Ulaya kumve masikini wakutupwa wamejaa ila tu utanashati na kujitafutia ndo uamuzi waop wa kila siku.
Eti anakuja mwingine anasema kwa sababu za kiusalam,Kha.
Tuendelee kuchukulia mambo poa, ipo siku tutafutana na hakuna kaburi litajkalo achwa bila kufukuliwa siku hiyo.
Ukiona mtu anafikiria alipoanzia kufikiria na siyo alipoishia utajua kuna tatizo mahali, subiri.Backward thinking.
Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu.
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms.
#PbOnSaturday
Tatizo nin mpaka zizuiwe kufika mjiniIfikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu.
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms.
#PbOnSaturday
Kuna watu wameshiba humu ila kwa kua hawaja wahi kupambana hawataelewa umeandika nn.Acheni kuona kila kitu ni tatizo , wewe bodaboda anakukera nini akiingia mjini kutafuta riziki yake, au mnataka sasa waanze kuiba ili maisha ya watu yawe kama mbwa mtaani ?
Tuwaacheni vijana watafute hela, ipo siku maamuzi kama haya yatajutiwa na hakuna atakaepona hapo,
Baada mnakuja kusema vijana watanzania wavivu, kila jambo wanalo fanya watu nyie mnaona tatizo, machinga tatizo, hata hao viongozi soon wananchi watawaona ni tatizo na watatka kuliondoa tatizo hilo, ndipo utakapojua kwanini kuna nchi zilikuwa zikikimbilia Tanzania kutafuta kujificha.
Vijana wameona watumie walicho nacho kujitafutia ulaji wa kila siku halafu watu mnataka kuwafukuza utadhani Tanzanai inauchumi kama Ulaya kumve masikini wakutupwa wamejaa ila tu utanashati na kujitafutia ndo uamuzi waop wa kila siku.
Eti anakuja mwingine anasema kwa sababu za kiusalam,Kha.
Tuendelee kuchukulia mambo poa, ipo siku tutafutana na hakuna kaburi litajkalo achwa bila kufukuliwa siku hiyo.
Wanaposema mjini wanamaanisha nn?Machinga ilianza hivyo hivyo. Kaa mkao wa kuondoka, usijipe moyo.
Zoezi ni la Nchi nzima.
Tuache nyumba zote zenye hadhi ya kubaki mjini kama za kule mikocheni wanakoishi watoto wa mjini akina Makala na JK au kule nje ambako rais mwanamke anasema alishazurura sana .baada ua hapo,nyumba za masikini ziondoke.