Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #101
Swali zuri sana. Kama kiwango cha wanawake tegemezi ni kikubwa zaidi hapa nchini, kwanini wasiwe wanaomba hela kwa baba na kaka zao?Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
huwa navimba, nakuwa jasiri balaa..!🙌🏾Hiyo kutukana Mods utakuwa umeanza lini Broh? Najua huyo atakuwa siyo wewe🤣
Nenda kajibambe Mdogo wangu....
Enjoy😘
Hebu log out hapo chap...huwa navimba, nakuwa jasiri balaa..!🙌🏾
huwa nawatishia jinsia ya kiume kuwa nitawavuruga vibaya mno,
deep down hata ngumi siwezi kukunja..!😂
Nakunyamazia kwenye hii topic weee dada!Kwa usafi gani uliokuanao mnuka janaba wewe mpaka uogope kuchafua uzi wa watu
Lazima utubu😂Nakunyamazia kwenye hii topic weee dada!
Za kuinvest UTT za kwako za kutumbuaSasa hela zake ni za nini?
Nakupenda Sis,Hebu log out hapo chap...
Sipo tayari kusoma nitakachokutana nacho...
Maana haya masaa si salama na hizi Weekend😅
Huo ndio ujinga sasaZa kuinvest UTT za kwako za kutumbua
Kilichoharibu mentality za wanaume wengi siku hizi kwenye swala la kuprovide ni:-Mpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....
Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????
Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Atutunze wote Baby sis....Nakupenda Sis,
Mungu akutunze..!🙏🙏
huo unakuwa ni ubinafsi uliopitiliza, hakuna siku kwani huyo baba anakwama..!??
Sasa mtaishije.
Kila mtu itabidi arudi kwao 😝
Thanks bro ❤Missing you too Jo.😄
Niambie ugeni wangu usichekeHahaha
Wanaume uvivu na Ukata wamekuwa wakali Sana.Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima
😅😅 hata mwanamke ambae katanguliza shida zake mbele kuliko jambo lolote.Aisee ni wa kumktenga hadi amalizane na matatizo yake kwanzaIt will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Hakkkisha uwekezaji wako unakuwa wa kIwango kikubwa, siku ukiwa haupo duniani waweze kujihudumia maana hili nalo ni janga, baba anakufa mke hajui hata kuuza nyanya, anaishia kuwa mjane masikini.Wanaume uvivu na Ukata wamekuwa wakali Sana.
Ukitaka mapenzi Mke wako asishinde kwenye jua na maporini hata kuoga kwake mtihani. Mimi ngoja Nile maisha na wake zangu Tu nitakula hiki hiki ila siruhusu wake zangu kushinda wanapuyanga kuuza mitumba🤣🤣
Yap, kundi la wanaume wasiokua na hela ni lazima liongeze. Hatuwezi kuwajumuisha wanawake kwenye uchumi wakati fursa ni almost zilezile halafu tuatarajie namba ya wanaume ibaki constant. Lazima kuna idadi ya wanaume itaenguliwa ili kupisha wanawake. Tunapoelekea itawalazimu wanawake nao ku-normalize suala la kusettle na mwanaume ambae wamemzidi kipato au hana kipato kabisa, kwa sasa ni ngumu sana wao kukubali hilo suala lakini idadi ya wanaume wasioweza kuhudumia mwanamke inavyoongezeka na wanaaake nao watakuja kuelewa.Muhimu ni kila moja atoke atafute, ili utegemezi usiwe 100% kwa sababu mwanaume naturally lazima umpe mwanamke, awe nayo au aside nayo lazima utampa tu.
Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima.
Hakuna haja ya kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu. Ukifa leo ataendelea kuishi tu😅😅 hata mwanamke ambae katanguliza shida zake mbele kuliko jambo lolote.Aisee ni wa kumktenga hadi amalizane na matatizo yake kwanza