Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko
Tukiwaacha hawa wapiga dili wa dubai watuamulie namna ya kuendesha nchi tutarudi nyuma sana.
Issue ya katiba mpya sio issue ya wananchi wanyonge na wengi bali ni maslahi ya baadhi ya viongozi wa kisiasa.
mama muuza dagaa ambaye amekopeshwa kwenye kikoba au bodaboda anayetakiwa kupeleka 17000 kwa siku hawahitaji katiba mpya.
Zaidi katiba mpya kule kenya haijawaletea tija wakazi wa Kibera(hili ni somo)

wapinzani hasa CDM wasituamulie mambo yasiyo na tija kwa maskini.

Tuletewe na tujadili hoja za kuujenga uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.

Tusiwe kasuku wa nchi za magharibi bali tufanye yetu kwa style yetu kukuza hali ya kiuchumi ya wananchi

Yale maVX wanatembea nayo viongozi wa ccm yanawasaidia nini hao wananchi? Kama ccm ingekuwa inawapigania hao wananchi kwakuwa hamna katiba mpya, mbona bado hao wananchi ni masikini? Je hao wananchi masikini mmewaonyesha vile viwanda vya Tanzania ya Magufuli maana hakukuwa na madai ya katiba mpya?
 
Yani wewe ni ng'ombe kabisa.

Heri babaako angemwaga chooni
 
Ujinga wenu wa kudhani watanzania wote ni wajinga umefika mwisho sasa. Hizi propaganda za kijinga toka kwa mnaofaidika na katiba mbovu iliyopo zimeshagunduliwa na sehemu kubwa ya watanzania. Wanajua kwa nini mnang'ang'ania kilichopo kwa kisingizio cha "wananchi wanataka maendeleo" huku mmeficha agenda za siri za kujinufaidha binafsi. Hakuna mwenye miliki ya nchi kuliko mwingine, wewe na genge lako hamna hatimiliki ya kutuamlia nini tunataka nini hatutaki.
 
Uzuri ni kwamba katiba mpya haiamuliwi na chadema wala CCM ila wananchi
Na hapa msijisahaulishe ile nguvu ya wajumbe..... najua mnaielewa😂😂
 
Uchumi kwanza,tukishiba ndio tutaangalia mambo ya Katiba mpya.

Kwamba Katiba mpya ni mali ya chadema au? Kwani nani wamewatuma chadema kutusemea?

Wananchi hata hawana hizo habari wao wanataka hospital,maji,umeme,shule,Kazi na haki
 
Yale maVX wanatembea nayo viongozi wa ccm yanawasaidia nini hao wananchi? Kama ccm ingekuwa inawapigania hao wananchi kwakuwa hamna katiba mpya, mbona bado hao wananchi ni masikini? Je hao wananchi masikini mmewaonyesha vile viwanda vya Tanzania ya Magufuli maana hakukuwa na madai ya katiba mpya?
Ccm we acha ,kama ingekua inawezekana kuishitaki ccm yenyewe ikafika mahakamani ijitetee kwann isifungwe maisha kwauongo wake toka 1975 ,sijui ingefungwa miaka mingapi ,

Kila baada yamiaka mitano inarudi kwenye boksi lake inamijitu inanadi yaleyale iliyonadi kutufanyia toka 1985 lakini wapi

Wadogozetu kama huyo wambinga uliyemjibu pamoja amefanyiwa unyama na ccm miaka yote....nyingine laaana za akina kambona katibu mkuu wakwanza watanu
 
Uchumi kwanza,tukishiba ndio tutaangalia mambo ya Katiba mpya.

Kwamba Katiba mpya ni mali ya chadema au? Kwani nani wamewatuma chadema kutusemea?

Wananchi hata hawana hizo habari wao wanataka hospital,maji,umeme,shule,Kazi na haki
Hawa jamaa ni basket mouth wa mabeberu
 
Uzuri ni kwamba katiba mpya haiamuliwi na chadema wala CCM ila wananchi
Na hapa msijisahaulishe ile nguvu ya wajumbe..... najua mnaielewa😂😂
Sasa kiherehere cha chadema kutuzulia jambo kinatoka wapi?
Jengeni ofisi za chama ndio mdai katiba mpya
 
Mkuu kuna dikteta mwingine Ikulu anayedhani ana haki ya kutuamulia Watanzania vile atakavyo yeye kinyume na Katiba ya Nchi.
Kama nyie ndiyo wenye maamuzi amueni basi hiyo katiba mpya,bila uchumi kuwa mzuri hiyo hela ya kunadili katiba mpya mtaitoa wapi?

Tamkeni kuwa nyie mtagharamia mjadala wa katiba mpya
 
Back
Top Bottom