Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko
Tumia akili yako. Katiba ni haki ya Watanzania. Ccm imekaa madarakani miaka 60 tuna nini cha kujivunia ndani ya hiyo miaka 60? Dhalimu mwendazake kwa miaka mitano alizuia mikutano ya hadhara na maandamamo mbona huo uchumi haikuwa mzuri!? 😳😳😳

Kama nyie ndiyo wenye maamuzi amueni basi hiyo katiba mpya,bila uchumi kuwa mzuri hiyo hela ya kunadili katiba mpya mtaitoa wapi?

Tamkeni kuwa nyie mtagharamia mjadala wa katiba mpya
 
Nani anataka kupiga kura yake ya kuchagua Rais, Mbunge au diwani kisha kura hiyo ikaibiwa kwa mtutu wa bunduki? Chama kiko madarakani kwa miaka 60 sasa kimefanya lipi katika kuboresha uchumi wa nchi katika hiyo miaka 60?

Ajira hakuna graduates wanasaga lami, elimu yetu ni ya hovyo sana, matibabu pia ni hovyo sana, usafiri pia ni hovyo sana. Mishahara ya wenye ajira ni ya chini mno miaka sita sasa bila nyongeza. Hebu tia akili kichwani japo KIDUCHU badala ya KUKURUPUKA.
Maisha siyo ajira au mshahara ni akili yako wapo wenye ajira na mishahara na hawana maisha na wapo wasio na ajira na mishahara na wana maisha
 
Wanasiasa, mjuwe sisi wananchi, hatutaki madaraka yoyote kwenye siasa, kwetu sisi twahitaji mkono wende kinywani, tukishapata mahitaki muhimu, hatuna zaidi ya hapo.
Hela za korosho za Walala hoi wa mtwara na lindi zililipwa? Watu wa huko mkono hauendi kinywani .kuna mtu au kiongozi yoyote aliwajibishwa? Au wananchi gani unaowazungumzia
 
Uchumi kwanza,tukishiba ndio tutaangalia mambo ya Katiba mpya.

Kwamba Katiba mpya ni mali ya chadema au? Kwani nani wamewatuma chadema kutusemea?

Wananchi hata hawana hizo habari wao wanataka hospital,maji,umeme,shule,Kazi na haki
ruhusuni mikutano yahadhara ndomtajua
 
Ni maoni yako. Kuna ambao wanapata maisha bora kupitia katiba hii hii. Kuna watendaji wanaongeza pato la taifa kupitia katiba hii hii.

Rwanda hana katiba nzuri lakini nchi yao inapaa kiuchumi.
Maisha ya watu wa rwanda unayajua? Kwanini wamejazana bukoba kufanya vibarua wakati uchumi wait unapaa
 
Baada ya Rais Samia Suluhu kuwatumia vijana wasio na mwelekeo kumsifia ndani ya siku 100 hatimaye arudi nyumbani CCM Kulinda masilahi ya chama chake

Chadema wameshafutwa kwenye ramani ya siasa hata kama wangefanyeje
Wewe kama ni mwanamke basi unakaribia menopause na inakuja kwa hali isiyo ya kawaida na kama mwanaume gono limeshaanza kula ubongo. Tafuta daktari haraka sana either way your not on your right state of mind.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Rais Samia Suluhu kuwatumia vijana wasio na mwelekeo kumsifia ndani ya siku 100 hatimaye arudi nyumbani CCM Kulinda masilahi ya chama chake

Chadema wameshafutwa kwenye ramani ya siasa hata kama wangefanyeje
Du hii ndio akili yako imefika mwisho?

Vyama vya siasa wafundisheni vijana wenu siasa. Wafundisheni critical thinking kuwaza na kuujenga hoja ngumu badala ya kuandika ujinga ujinga.

Utakuta mtoa mada ni graduate na anategenea kupata cheo fulani.
 
Du hii ndio akili yako imefika mwisho?

Vyama vya siasa wafundisheni vijana wenu siasa. Wafundisheni critical thinking kuwaza na kuujenga hoja ngumu badala ya kuandika ujinga ujinga.

Utakuta mtoa mada ni graduate na anategenea kupata cheo fulani.
kama mwenyekiti wenu mjinga kiasi hicho nyie wafuasi ndio vilaza kabisa mnarusha rusha miguu tu
 
CCM mnashida Sana. Kikwete alikuwa chadema?
Ndg ,ccm wasahaulifu 2025 utasikia wanakuja kunadi kujenga barabara ileile jimboni mgombea yuleyule aliabidi kujenga 2020 kwenye kampen

HATAHaya hayana ujuavyo hayawani alivyo(mshipa wa aibu hawanaga).
 
Wenzenu wanateuliwa ukuu wa wilaya , nyinyi mmo tu kwenye kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu toka enzi za mwendazake mnasugua makalio tu mpaka leo pole sana mataga kuja na nyuzi za ajabuajabu .
 
Uchumi kwanza,tukishiba ndio tutaangalia mambo ya Katiba mpya.

Kwamba Katiba mpya ni mali ya chadema au? Kwani nani wamewatuma chadema kutusemea?

Wananchi hata hawana hizo habari wao wanataka hospital,maji,umeme,shule,Kazi na haki
Hayo ya hospitali, maji, shule, yaliimbwa toka mwaka 1961 na CCM imeshindwa kuyatimiza chini ya katiba hii ya sasa, definitely haitoweza kuyaondoa kwa miaka 60 mingine mbele chini ya katiba hiihii.
 
🙂🙂
Hakuwatumia! Ila kwa vile walimchukia JPM walidhani Samia ni tofauti na JPM kumbe bado ni CCM na CCM haijawahi kuwa na sera sawa na za Chadema. At least Samia hawezi kufungua milango ya kuua chama chake!
 
Back
Top Bottom