sio Tanzania tu iliyo pigika kiuchumi bali Dunia nzima ipo ktk kipindi kigumu sana kiuchumi, ni ajabu kwa wanasiasa kudai mchakato wa katiba mpya ktk kipindi hiki kigumu cha kiuchumi bila hata kuwaonea huruma wananchi.Kilichoshuka ni kasi ya ukuaji wa uchumi, lakini uchumi wetu bado unakua.
Usisahu kuwa tuko uchumi wa kati!
Hujui nguvu ya kile kiti yaani.Mama ni mwepesi sana..upinzani waki fail i term wasahau kabsa
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa sasa. Na hii ni kwa sababu zifuatazo...
Mkuu kuna dikteta mwingine Ikulu anayedhani ana haki ya kutuamulia Watanzania vile atakavyo yeye kinyume na Katiba ya Nchi.
Hatokuja kufanikiwa kuzuia huu mchakato we muache tu akamuulize Meko huko alipo.
sio Tanzania tu iliyo pigika kiuchumi bali Dunia nzima ipo ktk kipindi kigumu sana kiuchumi, ni ajabu kwa wanasiasa kudai mchakato wa katiba mpya ktk kipindi hiki kigumu cha kiuchumi bila hata kuwaonea huruma wananchi.
wanacho waza wanasiasa wao ni kutwaa dola tu hawana mpango na umasikini unao tukabili.
hata hivyo katiba mpya ni jambo jema ila ni vyema tukawa na subira kwani subira yavuta heri.
tusiwe ving'ang'anizi kama ruba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi huru ni chadema kushinda?Kwa taarifa yako mimi si mwanasiasa lakini nataka kuona Tanzania yenye Utawala bora utawala wa sheria. Tanzania yenye chaguzi zilizo huru na haki na Watanzania tukawa na uhuru wa kuchagua madiwani. wabunge na Rais tuwatakao bila ya kura zetu kuibiwa kupitia mtutu wa bunduki na ile Tume FAKE ya uchaguzi. Tumechoka na chama kung’ang’ania madarakani kwa miaka 60 kwa mtutu wa bunduki huku wakiwa hawana jipya.
Sema ww uwezi kukubaliRais kutuzuia wananchi kutaka namna ya kuongozwaje hiyo ni dharau kubwa ya rais na chama cha mapinduzi kwa wananchi.
Hilo ni jambo ambalo hatuwezi kulikubali!
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa sasa. Na hii ni kwa sababu zifuatazo...
Ni kweli kabisa...
Tatizo moja kubwa na la hatari kwa watawala hawa na chama chao - CCM ni kudhani kuwa;
1. Watakuwa watawala milele. Hawajui kuwa siku moja (na ipo tayari) watakuwa hawana uongozi tena wa kiserikali. Hebu fikiri, CCM hii bila dola na chini ya katiba hii mbovu itakuwa CCM ya namna gani...
Siyo lazima iwe CHADEMA lakini inaweza kuwa CDM au MADECHA party...Hata katiba mpya ikiwepo
Chadema haiwez kuongoza Tanzania never
Huko ni kutokuelewa kwamba katiba bora inakuwezesha kupata vyote hivyo kwa ubora zaidi. Katiba mbovu ndiyo iliyompa mtu mmoja madaraka ya kuamua kujenga uwanja wa ndege kwao badala ya kununua dawa, kuanza mradi wa kujenga bwawa la Nyerere badala ya kuendeleza miradi ya gesi ambayo tulishaianza, kuingia mikataba ya kununua ndege bila kilishirikisha bunge na madhara mengine ambayo yangeepukika kama tungekuwa na katiba yenye kudhibiti mamlaka yake.Wanasiasa, mjuwe sisi wananchi, hatutaki madaraka yoyote kwenye siasa, kwetu sisi twahitaji mkono wende kinywani, tukishapata mahitaki muhimu, hatuna zaidi ya hapo.
Siyo lazima iwe CHADEMA lakini inaweza kuwa CDM au MADECHA party...
Lililo na uhakika ni hili;
CCM imekwishakufa kifo cha kawaida siku nyingi. Kilichobaki ni dola kukipa kisogo tu chama hiki na kifo chake kuthibitika rasmi na ndiyo mwisho wake wa milele...
Hata mama akikidhi haja zako zoote!; Yeye Ataondoka Katiba Itabakia!Mumewauliza wananchi kama wanataka Katiba mpya au wanataka uchumi? Wananchi wengi, tunataka uchumi, tupate mkate wetu wa leo na kesho, mambo ya Katiba ni yenu nyinyi wanasiasa, sisi wananchi bora mkono uwende kinywani. Hebu anzeni nyinyi wanasiasa muwaulize wananchi, hata kwa kupiga kura, kwenye maeneo yenu.
Katiba ya nchi gani na muungano ni Batili? Hata yeye kuwepo hapo hastahiki kwani hakuna Muungano. Ni kiini macho cha Laanatullahi Nyerere.Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa sasa. Na hii ni kwa sababu zifuatazo...
Tupo uchumi wa kati, tutembee kifua mbere!sio Tanzania tu iliyo pigika kiuchumi bali Dunia nzima ipo ktk kipindi kigumu sana kiuchumi, ni ajabu kwa wanasiasa kudai mchakato wa katiba mpya ktk kipindi hiki kigumu cha kiuchumi bila hata kuwaonea huruma wananchi...
Hakika !Mimi nilisema Mkuu Maza sina imani naye sasa maneno yangu yametimia Mkuu.