Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Acha kufunga,wewe ni mgonjwaKaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal,nimepima sukari ipo normal,mkojo pia upo safi,malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje
Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumuAcha kufunga,wewe ni mgonjwa
Kwamba unataka kuxemaje kaka?Relax mkuu.
Watakuelewa sasa?! Washalogwa na waarabuAcha kufunga,wewe ni mgonjwa
HAPO TUU NDIO NAWASHANGAA NA HIZI IMANI ZENU, YANI MTU UNAUMWA HALAFU BADO UNASHINDA
😂😂😂😂😂😂Watakuelewa sasa?! Washalogwa na waarabu
Weka imani pembeni, pambania afya kwanza; uhai ukitoka haurudi.Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumu
Kipepe unahisi nisipofunga nitakuwa sawa?HAPO TUU NDIO NAWASHANGAA NA HIZI IMANI ZENU, YANI MTU UNAUMWA HALAFU BADO UNASHINDA NJAA
Hapana hutakua Sawa, endelea kushinda na njaa ndio utakua sawaKipepe unahisi nisipofunga nitakuwa sawa?
Ok nafanyaje sasa nigee uwo ushauri nianzie wapiWeka imani pembeni, pambania afya kwanza; uhai ukitoka haurudi.
Nilitaka kuuliza umri wako nikidhani labda ni uzee ila kwa huu mwandiko wewe ni kijana mdogoXidhani km kuna kitu alinixhauri zaid ya kunipa panadol
Kapime TYPHOID kakaKaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje.
Huko koote umeshapima tayari.Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje.