Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

Nitatekeleza hili ahxante pia kwa uxhauri mzuri
 
Pia ni muhimu kuchukua vipimo sehemu tatu tofauti tofauti, wengine kwenye hizi hospitali huwa kuna usanii, inawezekana ata 'sample' zako zikatupiliwa huko pembeni, na ukapewa majibu yasiyo halisia.
 
Pia ni muhimu kuchukua vipimo sehemu tatu tofauti tofauti, wengine kwenye hizi hospitali huwa kuna usanii, inawezekana ata 'sample' zako zikatupiliwa huko pembeni, na ukapewa majibu yasiyo halisia.
Ni kweli j5 nitabadili hosptal hlf nijaribu kupima tena nione nitajibiwa nini
 
Pole,usipende kuandika hivi huku Jf watu wengi hawapendi.Ni uandishi wa Fb huu.

Ushauri ni kuairisha funga.Kuna rafiki yangu alifunga ikamletea shida mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…