Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

Pole sana.

Ni muhimu ukapima haja kubwa (choo), hasa H-pylori.

Kila la kheri.
 
Hali kama hiyo iliwahinitokea July hadi August 2024.

Baada ya vipimo vyote, nilionekana nina presha ambayo nayo haikuwa ya kutisha.

Nilishauriwa yafuatayo.

1. Kunywamaji mengi
2. Nipunguze chumvi
3. Mazoezi, kutembea au kukimbia taratibu
4. Matunda kwa wingi sana
5. Kula kwa wakati,balanced diet.

MATOKEO BAADA YA KUFUATA HUO USHAURI.
Baada ya kuanza zoezi la kutembea na kunywa maji kwa kiasi kinachotakiwa kulingana na uzito, hali yangu ilirudi kuwa bora mpaka nimeanza tena kupiga beer.

Usiwe mvivu wa mazoezi.
 
Sawa shukran
 
Tiba yako ni ya kiroho zaidi na sio ya hospital!

Wahuni Huwa wanaset pin code fulani ku decode kunahitajika uwezo mkubwa!!

Vipi muonekano wa ngozi yako hapo kabla na sasa!!?rangi ya macho nayo!!?ulimi!!?

Tilia mkazo dondoo ndogo ndogo!!uanaweza kuona upon saw kumbe mwili unavimba badala ya kunenepa na unakua na macho mekundu!
 
Ujauzito je? Kama hakuna utakua tu dehydrated kunywa maji mengi utakaa dawa
 
HAPO TUU NDIO NAWASHANGAA NA HIZI IMANI ZENU, YANI MTU UNAUMWA HALAFU BADO UNASHINDA NJAA
Haya mavyakula mnayokula hovyo hovyo ndio yanawaletea matatizo, wazee zamani walikuwa wanakula milo miwili basi na wanafanya kazi nzito. Nyie sku hizi mnakula mitatu halafu muda wote mnachat tu.
 
Una kilo ngapi ya uzito?! Nataka kukuambia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…