Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Conspiracy theory, caesarean section ni salama zaida kuliko pushing

Wenye sent zao ni nzur sana
Si kweli!! Usidanganye watu. Caesarian delivery ina risk nyingi na inamweka mama kwenye risk ya kupata complications nyingi.
Kama kuna uwezekano wa kajifungua kawaida njia ya kawaida ni salama zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ