Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Mbona na nyie wanaume wakiwalatalia mnashidwa kuweka makasiriko kando
Kwa sababu wanaume ni warahisi, so nikimtongoza akakataa naona kama nimejidhalilisha alafu kanidharau like kanichukuliaje na vitu kama hivyo ndo vinazalisha makasiriko.

Ila ya kwenu ni PRO MAXπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ohoo bas sawa
 
Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
 
Kwanza tufahamu , wewe ni ke au me?
 
Mkuu Hapa umeandika kwa hisia Kali sana
 
Kwa sababu wanaume ni warahisi, so nikimtongoza akakataa naona kama nimejidhalilisha alafu kanidharau like kanichukuliaje na vitu kama hivyo ndo vinazalisha makasiriko.

Ila ya kwenu ni PRO MAXπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 Wee kunyimwa mbususu kunauma basi tuu hamjui. Kama hivi ninawamaind wadada wa jf mnanipiga vibuti tuu huko pm.

Ila muache makasiriko wanawake pia tukiwakataa....ndio hivyo preferences jamani kama nyie tuu
 
🀣🀣🀣🀣🀣polee weee usivunjike moyo huko PM muda utaongeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SawaπŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣polee weee usivunjike moyo huko PM muda utaongeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SawaπŸ˜‚
Ah nyie wazee wa dakika mbili na andunje andunje hamtutaki
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…