Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Mwanaume ndio anatoa jinsia ya kiume so harakati upande wa mwanamke hata hazina matunda. Mimi sijawah fuatisha tarehe na wameenda girl, boy, girl na hua najua nimeconceive lini.
 
Makofi kwa mwanamke maana alikupa yai siku yai lake limepevuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wee kuhusu mtoto wa kiume pongezi apewe babaa...!!! Raha sana kuwa na first born kidume
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wee kuhusu mtoto wa kiume pongezi apewe babaa...!!! Raha sana kuwa na first born kidume
Wakike ana siku 3 kupatikana,wa kiume 1 ......je hiyo siku moja mama angekunyima je
 
Wakike ana siku 3 kupatikana,wa kiume 1 ......je hiyo siku moja mama angekunyima je
Aaha mimi ndo nabeba XY so yeye akininyima ipo siku atanipa tuu au nimbake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana huwa mnazuga hamtakiii ikipenyaa mauno hayoo
 
Aaha mimi ndo nabeba XY so yeye akininyima ipo siku atanipa tuu au nimbake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana huwa mnazuga hamtakiii ikipenyaa mauno hayoo
Haya bhana
 
We bado una nafasi mbona mi ninao 3,, asante kwa anagalizo nitalijaribu nione nikimpata she nitafurahi sana
 
Tupo wakiume wanne,wakike mmoja Tena wa mwisho.sipati picha tungekua hatuna dada mama angepata tabu sana,yaani dada Amekua msaada mkubwa kifamilia mama anamtegemea San kwenye mambo yake..ila sikufichi mama anapenda watoto wake wakiume pia
Wakike atakuwa anapendwa zaidi,, 😜😜 ndo msiri wa mama yenu huyo
 
Una jingine au hilo ndio umeona kubwa zaidi?
 
Hizo ni akili za wanaume wachache ambao wanamila za kukandamiza wanawake. Mi sina mtoto wa kiume na sijawahi kujali zaidi ya kufurahia maisha na my family
 
Mimi natafuta wa kike. Kweli dunia duara!!
 
bora wa kike ambae nina hakika ni wangu wa kufanana kuliko wakiume wakusakiziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…