Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Maelezo murua Asante kwa kujali kaka, maelezo haya nimepata kwa watu km watatu nitajaribu nione 🙏🙏🙏 nitaleta mrejesho
 
Shemeji yangu mmoja alizaa watoto ke 5 hadi akapata wa 6 Me, sababu ndugu yetu alichepuka akapata kidume na akasema ndio mrithi wake.
Yule shemeji baada ya kupata katoto cha kiume ali bongeka, sijui ndio kuridhika asee
Alibongeka sababu akili yake ilitulia kwa kupata baby boy,, Sasa Hadi mume alichepuka hapo angenenepea wapi
 
Aisee!
Ufafanuzi kuntu!
 
Niwe na mtoto wa kiume au wakike tuu URITHI PEKEE NITAKAO WAACHIA NI ELIMU NA MAARIFA NA SI PESA NA MIJENGO! YAANI NIACHE JINA AU NISIACHE JINA HAITA NIFAA BAADA YA MAISHA YA DUNIANI!
Elimunsionurithi we jamaaa. Walachia watoto Mali waziendeleze washirikoshe toka mapema Waanhalie Wahindi waarabu na hata wazungu wana family business....najua utanipiga spana Nina uzoefu
 
Maelezo yapo sawa ila nikurekebishe kidogo mbegu Y ndo huwa za mtoto wa kiume na X ndo za mtoto wakike pengine kote upo sawa kabisa .
 
Alibongeka sababu akili yake ilitulia kwa kupata baby boy,, Sasa Hadi mume alichepuka hapo angenenepea wapi
Mungu ndiye mpangaji wa kila kitu ila tukija kiubinadamu anayetakiwa kulaumiwa kwa kukosa mtoto wa kiume ni sisi wanaume na si mwanamke maana wanawake wameumbwa na mbegu XX pekee ambazo ni za kike a wanaume tuna XY sasa ukiona mtu anampa presha mke wake kwa kukosa mtoto wa kiume jua yeye ndo anatatizo mahali .
 
Niwe na mtoto wa kiume au wakike tuu URITHI PEKEE NITAKAO WAACHIA NI ELIMU NA MAARIFA NA SI PESA NA MIJENGO! YAANI NIACHE JINA AU NISIACHE JINA HAITA NIFAA BAADA YA MAISHA YA DUNIANI!
Nani alikudanganya elimu ndiyo urithi ? Unadhani ukisikia "familia tajiri " ni kwamba walirithi elimu tu?
Watanzania tuache mawazo ya kimaskini achia watoto mali na elimu si elimu .
 
Afrika ukiwa ke jiandae kubeba hata lawama za wanaume wa ukoo mzima ndo tulivyo
 
Niwe na mtoto wa kiume au wakike tuu URITHI PEKEE NITAKAO WAACHIA NI ELIMU NA MAARIFA NA SI PESA NA MIJENGO! YAANI NIACHE JINA AU NISIACHE JINA HAITA NIFAA BAADA YA MAISHA YA DUNIANI!
Yani hao graduates wanavyohamgaika na bahasha za vyeti kutafuta kazi ndo useme ni urithi wa kuwaachia wanao?
Tafuta mali na elimu uwape
 
Kiuhalisia kama una uchumi wa Kati ni rahisi kumlea mtoto wa kike aweze kujitegemea kuliko wa kiume
Mfano: Just a diploma education or simple VETA technical skills inaweza kumfanya mtoto wa like kumudu maisha ya mtaa
Shida ni pale mzazi anapomwandaa mtoto wa kike kama manager badala ya executors,
Kama uchumi ni mmbaya sana kweli mtoto wa kike pressure!

Inachukuwa more time and resources kumfanya mtoto wa kuime ajitegemee

Personally uchumi wangu wa TECNO sio mkubwa wala sio hoehae, nimeweza kuwasaidia wadogo zangu wa like na kiume ila wale wa kike ndio wanajimudu completely.
Iko hivi wa kike wako wawili, mmoja diploma in clinical medicine anajitegemea very well
Mwingine Veta na sasa ni fundi Simu, redio na the likes pia anajitegemea ....nasubiri mahari on behalf ya wazazi

Huyo wa kiume Diploma in Electrical. Engineering sasa nimeshamtoa polisi mara kadhaa...mara kaiba waya za copper kiwandani, mara anadaiwa hajamaliza kazi ya installation kwenye nyumba flan.....mim najua hela haimtoashi kwan lazma ahonge mtoto wa kiume yule
 
Sisi tunaotafuta wakike tunacomment wapi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…