babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri kwa sababu haiwezekani siasa za sisiemu zikufanye eti uchukie timu yako ya taifa au nchi yako.Sas ana ugomvi na serikali ndio ugomvi na nchi.
Ni zwazwa moja.
Sio tu viwanja Hadi mpk democracyNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Ume ni follow kwenye mitandao ya kijamii halafu mimi sijakufollow back.Unanifuatilia kuliko hata demu wangu
Huko ndio BALAA, Mimi nikisemwa naambiwa Nina ugomvi na serikaliSio tu viwanja Hadi mpk democracy
SawaUme ni follow kwenye mitandao ya kijamii halafu mimi sijakufollow back.
Punguzeni uzuzu.Sio tu viwanja Hadi mpk democracy
Fatilia ligi yao utakuja hapa kufuta huu uzi. Kenya wana viwanja vibovu na vya ovyo mno. Hivi viwili vunayotumika hivi sasa vumefangiwa marekebisho makubwa mno ila bado vina pitch mbovu. Branding ya CAF inakuchanganya. Ligi yao ikianza fatiliaNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Wamewafunga African number 1 team.....Sikujua, kumbe Mpira wao ulishuka
Hali waliyonayo chadema kwa Sasa Kwakweli inasikitisha sana. Wamekuwa kama machokoraa, wanaokota Kila kitu.Write your reply...akili za chadema hivi kenya walivyokua wamehamishia mechi zao malawi hawakua na viwanja?
Acha kujikaza wametuzidi ndio maana fainali inapigwa hukoKenya hawana maajabu ,kiwanja cha kawaida sana ..Mnapenda sana kujifananisha ,mtakuja tena eti wanahamasa ya kushangalia ...Vijana mnasumbua sana na roho za kujifananisha.
Akili zako zinawaza siasa sio kila anayesema no no chadema hap ndipo mnafeli taifa linabaki la machawaHali waliyonayo chadema kwa Sasa Kwakweli inasikitisha sana. Wamekuwa kama machokoraa, wanaokota Kila kitu.
Uwanja wataifa tz wamepewa mainj9nia wa mchongo ...pichi siyo quality ni low quality...samia na genge lake la wahuni wanaturudisha nyuma ...narudia tena waislamu awafai kuwa viongozi ...Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Shida hujui unachokiongea watu kama nyie niwakuwahurumia tuPunguzeni uzuzu.
Kenya hakuna democracy, kuna siasa za Wajaluo, wakikuyu, wakalenjin na wakamba.
[/QUOT
Kenya viwanja viwili,moi kasarani na nyayo,ambavyo juzi tu vilikua majaruba ya mpunga hadi chan kusogezwa agosti badala ya FebruaryHaya, taja viwanja vya Tanzania vyenye kiwango cha kuchezea CHAN, namimi nitaje vya Kenya
hivyo vya nyasi bandia ulivyovitaja hapo viko viwango vya CAF?Kenya viwanja viwili,moi kasarani na nyayo,ambavyo juzi tu vilikua majaruba ya mpunga hadi chan kusogezwa agosti badala ya February
Tanzania ina mkapa,amaan,azam complex,kmc