Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

Mwinyi, sokoine,kirumba ni vya sasa?!.. kasarani si imefanyiwa marekebisho,caf waliufungia juzi tu!?
 
Wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri kwa sababu haiwezekani siasa za sisiemu zikufanye eti uchukie timu yako ya taifa au nchi yako.
Sio hivyo ni kweli kenya wanatuzidi vitu vingi lakini sio vyote yani sisi Tz. inatakiwa kuacha siasa ya kusifu, hata pale hapahitajiki?
 
Sio hivyo ni kweli kenya wanatuzidi vitu vingi lakini sio vyote yani sisi Tz. inatakiwa kuacha siasa ya kusifu, hata pale hapahitajiki?
Nchi inayopokea misaada ya chakula karne hii haiwezi tuzidi chochote.
 
Sio hivyo ni kweli kenya wanatuzidi vitu vingi lakini sio vyote yani sisi Tz. inatakiwa kuacha siasa ya kusifu, hata pale hapahitajiki?
Kenya inaizidi Tanzania fly over na magorofa tu.
Hata hivyo viwanja anavyosemea huyo mara kibao CAF walivikagua na kuvikosoa.
 
Kenya inaizidi Tanzania fly over na magorofa tu.
Hata hivyo viwanja anavyosemea huyo mara kibao CAF walivikagua na kuvikosoa.
Hata na sisi Tz bado hatujawa na viwanja vyenye kukizi?
 
Nchi inayopokea misaada ya chakula karne hii haiwezi tuzidi chochote.
Niliona kwenye risti ya bbc swahili nchi zenye uchumi mkubwa, africa kwenye top10. Kenya wapo ndani lakini Tz haipo hii imekaaje mkuu?
 
Acha uongo.
Kasarani ni mdogo kulinganisha na mkapa na unachukua watu 48000 pekee


Dar es salaam Kuna Benjamin mkapa 62000
Uhuru stadium 30,000
KMC stadium 15000

Bado Kuna Zanzibar 15000
Kuna ule wa pemba 15000
Bado tunajenga vingine Arusha na Dodomq
 
Niliona kwenye risti ya bbc swahili nchi zenye uchumi mkubwa, africa kwenye top10. Kenya wapo ndani lakini Tz haipo hii imekaaje mkuu?
Uchumi mkubwa unawasaidia nini wakati kila mara wafanyakazi wanagoma kwa kutolipwa mishahara!
Uchumi mkubwa unawasaidia nini wakati hawawezi kufanya mradi wowote kwa pesa za ndani hadi wakope?
Tanzania inatekeleza miradi mikubwa ya gharama kuliko hiyo nchi unayosema ina uchumi mkubwa!
Uchumi mkubwa unawasaidia nini wakati kila mwaka wanapatwa na njaa hadi kupewa misaada ya chakula kutoka China nk!
County nzima ya Taita Taveta wananchi wake wanafata matibabu Tanzania, sasa huo uchumi mkubwa unawasaidia nini!
 
Hata na sisi Tz bado hatujawa na viwanja vyenye kukizi?
Tanzania tumejitahidi sana kaka sema tu viwanja vichache.
Mkapa stadium ni bora Easta Afrika hakuna.
Amaan stadium uwanja wa kisasa,Gombani stadium hauna tofauti sana na Amaan stadium.
Uwanja wa uhuru upo kwenye matengenezo ukikamilika utaushangaa.
Hivi umeuona huo Kasarani kwenye gateway ulivyo!? Kama mashamba ya mihogo.
Pitch zao zote nyasi hazijakamilika huku vipara huku nyasi zimezidi.
Yani maintenance zero ya viwanja.
 
Niliona kwenye risti ya bbc swahili nchi zenye uchumi mkubwa, africa kwenye top10. Kenya wapo ndani lakini Tz haipo hii imekaaje mkuu?
Mkuu uchumi walioutangaza BBC ndio huu wa World bank na IMF ya GDP na GDP per Capita.
Ni vipimo fictious kabisa havina uhalisia.
Qatar uchumi wake ni Nominal GDP $24 billions.
Yani hata Tanzania tumewapita Qatar kwa Nominal GDP,ila nenda kwa ground Kuna taifa lolote la kijinga hapa Afrika linaifikia Qatar hata robo kwa maendeleo na fedha!?
 
Nilichogundua Kenya viongozi wao washakua waoga wanajua wakiboronga WANANCHI hawakawii kuvamia ikulu
Na hili ndio dawa,haya yote ni katiba ikisimama,sasa ww nchi ina katiba ya mwaka 1961,leo karne ya 21 bado wanangangania hiyo hiyo,,kwa kifupi watanzania sisi ni wapumbavu mno,nikiwemo na mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…