Tatizo Tanzania hakuna standard.Hapo mi sioni tatizo kwasababu mbona kuna wengine wanalipwa nyingi.
Vibarua ni ngumu kuweza kuwa control ndio maana ukiangalia katika takwimu utaona MO ana wafanyakazi 20,000.
Kwenye hao 20,000 waliopo kwenye takwimu ndio wanaolipwa vizuri. Kwa hiyo hata hao wataopewa hizo scandal nadhani wataangalia malalamiko kama yanatoka kwa hao 20,000
Vinginevyo maana yake hao sio waajiriwa wake na wala yeye hawatambui.
Halafu mbona ipo easy sana. Mfano mimi nimepiga kazi ya kusaidia fundi.
Fundi ndiye aliyefanya mapatano ya bei na boss. Walivyoafikiana, fundi akaja kunitafuta mimi akanipa offer yake nikaona inafaa nikakubali.
So nafanya kazi nikijua kabisa kuwa nacholipwa ni kiasi ambacho hakiendani na kiwango anachochukua fundi japo kiuhalisia mimi ndiye nayefanya kazi kubwa.
Sasa kwa hapo kuanza kumlaumu boss kuwa hayupo fair analipa vibaya sio sawa.
MO yeye anamlipa UPAMI ambaye wameingia mkataba. Maswala ya vibarua kulipwa shingapi hilo yeye MO halimuhusu cha msingi kazi yake ifanyike basi.
ChoiceVariable viwanda gani mmevileta? Hii ndio FDI mnayojisifia nayo?!Sad reality. Kuna “ajira” chache sana mjini hapa zinazowalipa watu angalau TZS. 10,000/- per day
No wonders dada zetu wengi wameresort kwenye kuuza mbunye zao. Options are limited
Huo ndio uhalisia....Sasa hii ndio ambayo jamaa anaifanya.
Jamaa anabeba mafuta ya kupikia anapiga root za mkoani na sometimes anapasua hadi kongo.
Faidi ya kwanza anapiga mafuta sijajua anatumia mbinu gani ila anapiga.
Halafu wakati wakurudi gari linakuwa tupu kwa hiyo analiegesha stendi anawaita wapiga debe wanampigia debe anapata watu wakusafirisha mizigo anawapiga hela ya kutosha akifika home tayari ana jackpot.
Mama ntilie analipa afu tatu kwa kutwa ila hana utajiri kama wa mo,hivyo tuache kulinganisha hawa watu wawili in terms of malipo,kifupi tu huyo mo ni mwizi na tapeli anayetengeneza faida kubwa kupitia sera mbovu za chama tawala na ndio maana jiwe alimtingisha kidogo kwa sababu aliona ni katapeli,na sio mo tu hata wengine wenye viwanda wanaowalipa ujira wa kipumbavu watanzania haijalishi ni mwarabu au mswahili mkristo au muislam.Tukemee utumwa huu wa kutengeneza matajiri wanaopata utajiri kwa kuwanyonya watanzania
Ubilionea kaupatia Tanzania.... halafu afuate "standards" za dunia"...Tatizo Tanzania hakuna standard.
Hata Ulaya na Marekani watu wanatumia model ya kutumia consultants ambao si waajiriwa, lakini kuna mikataba ya kuweka standards kwa hao agencies wa consultants inayoweka standards fulani.
Mo Dewji kashindwa kuweka hizo standards. Kashindwa kutumia agencies zenye standards.
Jambo ambalo linaweza kuwa sawa Tanzania kwa sababu hatufuati standards, lakini Mo kashavuka standards za Tanzania kafikia ubilionea sasa hivi anatakuwa kujiongeza kwenda na standards za dunia.
Kwa sababu huko duniani mabilionea wenzake wakisikia anatumia watu wanaoliowa dollar 1.5 kwa siku hiyo ni scandal.
Sio Mo tu, Nenda kwa Bakhresa, Murzah na wahindi na waarabu wengine. Watu wanaajiriwa hawana mafao wala bima ya afya. Halafu srikali inawalipa ruzuku hawa jamaa aisee Tanzania tuna safari ndefu sana. Mo mpaka kesho anapewa ruzuku kwa ajili ya kusambaza mbolea.Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Ameshafuata standards za dunia kwa kujiunga the giving pledge.Ubilionea kaupatia Tanzania.... halafu afuate "standards" za dunia"...
Duuh "too hypothetical"....
Anakimbia kodiHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Pengine huko watu wako loyal hawaibi na ndio maana busara kama hizo ni kawaida kuziona kwa mwajiri.Tatizo Tanzania hakuna standard.
Hata Ulaya na Marekani watu wanatumia model ya kutumia consultants ambao si waajiriwa, lakini kuna mikataba ya kuweka standards kwa hao agencies wa consultants inayoweka standards fulani.
Mo Dewji kashindwa kuweka hizo standards. Kashindwa kutumia agencies zenye standards.
Jambo ambalo linaweza kuwa sawa Tanzania kwa sababu hatufuati standards, lakini Mo kashavuka standards za Tanzania kafikia ubilionea sasa hivi anatakuwa kujiongeza kwenda na standards za dunia.
Kwa sababu huko duniani mabilionea wenzake wakisikia anatumia watu wanaoliowa dollar 1.5 kwa siku hiyo ni scandal.
Unaona ni sawa mtu kulipwa 4000 kwa masaa 6?
Na viwanda ambavyo havimilikiwi na wahindi mtawataja kabila zao au basi tu ni watu wa asili ya kihindi? Tembelea viwandani uone malipo ya wafanyakazi na tena havimilikiwi na wahindi kama unavyofikiria wewe.Acha atajwe mzee, Ndio ni Mhindi kwa huo Ujira aisee hapo ni kutafuta Maximum profit tu punda afe mzigo ufike, Na ivo Viwanda vya Hao wahindi ni very risk mzee hata regulatory Bodies za Safety sijui zinafanya kazi gani mtu hajali safety ya wafanyakazi bado ujira ni duni,
Bado tunamchekea tu
Muulize anataka alipwe shingapi ambayo anaona ndio kiwango sahihias long as mwenye amekubali hakuna tatizo
Marekani waajiri wanatumia consultants.Pengine huko watu wako loyal hawaibi na ndio maana busara kama hizo ni kawaida kuziona kwa mwajiri.
Lakini malipo ya 15,000 kuna sehemu yapo.
Tena town hapa hapa.
Huko hakuna upigaji lakini watu wanapakimbia wanakuja kupanga foleni kwenye 4,000.
Mwananchi pale kuna kiwanda cha steel naskia wanalipa 15,000 na kina uhaba mkubwa wa wafanyakazi.
Umeshiba zako ugali na makange na maji ya baridi una type zako kwenye keyboard😀 muda huo utumie kupitia post Za watu humu wakiomba ajira hawana mtaji wa kufungua genge autolee wapi? Mjomba mwenyewe unayemtegemea anatamani angekuwa mbwa ulaya 😂Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako
Vibarua wa MO wanakula kwa MO kama hufahamu, kuna Kantini chakula Bure. Usiku ndio unajitegemea.Housegirl na houseboy wanakula wapi wanalala wapi wakiumwa nani ataewajibika si ni Mimi usifananishe na mfanyakazi kiwandani mzee
Basi awalipe hata 10,000. Hiyo 4,000 sawa kabisa hata kama ndio tuko kwenye soko huria, ni malipo ya udhalilishaji.
Kabla hujawa raisi? Are you serious? Hata sijui niseme nini kuhusu ulichosema, maana kukuita mwehu nitakuwa ninawaonea mawehu wote duniani! Wacha ndoto za mchana na kubabwaja yasio na maana. Unasema watanzania wenzako wanateswa na solution ulokuja nayo ni ya ndoto za ali nacha?!Nyie ndio hata mkiitwa nyani na wazungu mnabaki mnachekacheka kwakua ni matajiri Sasa Mimi huo ukondoo naukataa aiwezekani watanzania wenzetu wateswe kama GABACHORI kashindwa biashara afunge kampuni kabla sijawa rais