Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Umakazania ubaguzi, sasa Mo sio muhindi!? Mo ni muhindi!
 
Unapomzungumzia MO ukisema wafanyakazi wake basi hakuna ambaye analipwa 4,000 kwa siku.
 
Cheki mjinga mwingine anatetea watz maskini wazidi kunyonywa tu. Kisa wao maskini hawawezi kuajiri mtu ndo iwe fimbo yakuwasimanga?.
 
Elf 10 kwa siku, Mbona Nchi jirani ya Zanzibar kima cha chini kibarua wanalipwa elfu kumi na tano.
Siku hizi kule zanzibar kibarua ni elf 20. Alafu huku tanganyika kibarua ni elf 8. Hatuna serikali.
 
Humu kuna watu ambao ni wehu mkuu au wapo under influence of something mleta mada ana lake jambo au kanyimwa hiyo kazi ya afu 4
 
Kwani unskilled workers hawana mahitaji!? Hizo kazi wangewapa skilled basi
Kwa hiyo mwajiri anatakiwa kulipa watu kulingana na mahitaji yao na siyo ujuzi?

Kwa maana hiyo hata mhudumu wa mgahawani huko uswahilini alipwe sawa na Daktari wa mhimbili kwa kuwa wote wanamahitaji?
Standard za ujira hutofautiana kulingana na mchango na ukubwa wa eneo analohudumia mwajiriwa.
Ujira wa 4000/= upo pale kwa vibarua ambao hawajasomea na kubobea katika mambo na mara nyingi hufanya kazi zisizohitaji ujuzi. Kiwanda au taasisi Ile Ile malipo ni tofauti kwa wataalamu k.v wahandisi, wakemia, mameneja n.k

Mahitaji Yako hayamlazimishi mwajiri wako kiwango Cha ujira wako!
 
Wanafaulisha bidhaa zake kwa maduka ya jumla mikoani sanasana mafuta ya kula, sabuni za unga, sabuni za kipande na bidhaa zingine mbalimbali. Pia wakiwa wanarudi njiani wanapakia magunia ya mazao njiani kama karanga, alizeti,mahindi na mchele bei maelewano 1000 hadi 3000 kwa gunia 1 la 90kg-100kg semi trela inabeba gunia 270 hadi 300. Pulling inabeba gunia 440 hadi 550. Wanatusadia sana kusafirisha mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…