cheap politics za Jiwe
 
Kamfufue .bwege wewe alikulalla mini?
 
Bro ikubali tu hali kisha concentrate kwenye mambo yako mengine. Zaidi Muombee huko aliko apate Rehema za Mwenyezi Mungu na Asamehewe yote..

Unachokifanya hakina Tija kabisa na zaidi Unazidi kuisononesha Familia ya JPM kutokana na comments za chuki zinazotiririka humu. HAUJENGI ZAIDI UNAHARIBU SANA.

Angalia kila comments 10 unakuta ni 1 tu ipo positive na thread yako.

Kama UNA AKILI KWELI basi tafakari
 
Bado hujakubali tu kwamba Magufuli kafa?

Tatizo moja la siasa za Afrika ni siasa zinazoangalia watu kuliko hoja na sera.

Hivyo, mtu akifa ghafla wafuasi wake wanakuwa kama wanapata kichaa hivi.

Watu wamekaa kumjadili Magufuli utafikiri bila kumtaja Magufuli maisha hayaendelei?

Kafa Nyerere na watu wameendelea na maisha, watu wanafiwa na mama zao na wanaendelea na maisha, wewe huyo Magufuli bila kumsema hujisikii vizuri?

Unataka kuanzisha dini mpya na kumfanya Magufuli mtume wako?
 
Kijogoodi unawewwseka sana
 
Na wenye vyeti fake warudishwe kazini
 
Ukiona jina JPM unatetemeka kwa uoga na chuki.... Roho ya kimasikini na kibaguzi sana unahitaji maombi.
 
Hayo yote yangeweza kufanyika pasipo watu kuishi kama digi digi.
 
Andiko lefu ila la kishenzi
 
Kajifunze vizuri maana ya legacy. Hivyo vyote ulivyotaja hata mwendawazimu na muuaji anaweza kufanya. Legacy siyo physical materials mkuu
Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha...
 
Andiko lefu ila la kishenzi
Kwanza unaonesha uvivu wa kusoma. Ukisema hili andiko ni refu utaweza kusoma "War and Peace" cha Tolstoy?

Pia, andiko lako fupi lakini limezidi kwa ushenzi kwa sababu hata kama langu ni kweli la kishenzi, hujaeleza ushenzi uko wapi na kwa nini ni ushenzi.

Hivyo inakuwa vigumu kukujibu kwa hoja.

Jibu hoja kwa hoja.

Acha viroja.
 
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo. Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto.

Ni miezi miwili sasa mzigo wangu umekwama bandarini kwa madai kuwa taratibu za ushuru kutokukamilika hali ya kuwa risiti zote halali ninazo. Mbaya zaidi ni mzigo wa biashara hivyo kadri muda unavyoenda nazidi kupata hasara.

Sikujua kuwa ukali wa kiongozi mkuu unaweza kusaidia watendaji wa chini wakatimiza majukumu yao kwa weledi na uharaka kwa kumjali mwananchi. Pili hali ya umeme huku mtaani kwetu ni tete, Kila mara umeme unakatika, na mita za luku system hazifanyi kazi mara kwa mara umeme haununuliki.

Ninajiuliza mbona kipindi cha mwendazake haya mambo hayakuwepo? Ina maana utendaji wa hawa wafanyakazi unaangalia zaidi kiongozi mkuu aliyepo juu yao?

Kiukweli nimeshuhudia mambo mengi ya hovyo ndani ya muda huu mfupi, Tukiachilia mbali la kuahirishwa mechi ya Simba na Yanga bila kiongozi yoyote kuchukuliwa hatua, Madawa ya kulevya yameongezeka kwa kasi huku mitaani,wizi na ujambazi navyo vinashamiri ndani ya muda mfupi, Kwanini?

Kwakweli niseme tu kuwa ninajuta sana kumponda mwendazake popote alipo anisamehe na Mungu anisamehe.Na ninamuombea azidi kupumzika kwa amani.
 
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto.

Ni miezi miwili sasa mzigo wangu umekwama bandarini kwa madai kuwa taratibu za ushuru kutokukamilika hali ya kuwa risiti zote halali ninazo.Mbaya zaidi ni mzigo wa biashara hivyo kadri muda unavyoenda nazidi kupata hasara. Sikujua kuwa ukali wa kiongozi mkuu unaweza kusaidia watendaji wa chini wakatimiza majukumu yao kwa weledi na uharaka kwa kumjali mwananchi.

Pili hali ya umeme huku mtaani kwetu ni tete, Kila mara umeme unakatika,Na mita za luku system hazifanyi kazi mara kwa mara umeme haununuliki.Ninajiuliza mbona kipindi cha mwendazake haya mambo hayakuwepo? Ina maana utendaji wa hawa wafanyakazi unaangalia zaidi kiongozi mkuu aliyepo juu yao?

Kiukweli nimeshuhudia mambo mengi ya hovyo ndani ya muda huu mfupi,Tukiachilia mbali la kuahirishwa mechi ya Simba na Yanga bila kiongozi yoyote kuchukuliwa hatua, Madawa ya kulevya yameongezeka kwa kasi huku mitaani, wizi na ujambazi navyo vinashamiri ndani ya muda mfupi, Kwanini?

Kwakweli niseme tu kuwa ninajuta sana kumponda mwendazake popote alipo anisamehe na Mungu anisamehe.Na ninamuombea azidi kupumzika kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…