Mtahangaika sana kipindi hiki lakini ndo hivyo keshaondoka na hatarudi milele. legacy
Una point ya msingi, ila 2025 watz tutafanya tathmini ya kipi kimefanyika. Ogopa sana mtu aliyeacha alama ya vitu.
 
Raha ya Wabongo tumejaliwa unafiki hasa wana siasa
 
Nasema kwa heruf kubwa hakuna mtanzania wa kuthubutu kuingia barabaran ,Kama unalitegemea hilo utachelewa sana tena sana ndugu yangu.

Kama unabisha tafuta wenzio hata elfu mbil ingien barabaran Kama hamjawafaidisha wauza majeneza kupata pesa za bure bure ,mtanzania gan atahimil lisasi na milio yake?

Alaf pale uwanja wa ndege walivamia ndio na kwasabab lile tukio lilikuwa na faida kwa upande wa serikal ndio maana hawakufanya kitu ,ile kisiasa tunasema ni kete nzur kwa waliopo madarakan ,Sasa siku jichanganye uingie barabaran et unapinga utawala la Rais samia ndipo utataman uwe Kama unaota vile .
 
Kuna mtu bungeni akiwa na akili zake timamu amebeza mradi wa kufua umeme wa maji Rufiji na kusema umepitwa na wakati?! Hawa ndio wale Hayati JPM aliwaita walevi waliochanganyikiwa, kama yuke Ndu gay anayetaka tukubali masharti ya mradicwa bagamoyo; yaani hadi mtu unajiukiza, huu ni uwendawazimu, utaahira au ni nini?
 
Wanao mchafua Mwanamageuzi JPM Wanatia huruma, wanajifariji kwamba JPM alikuwa hakubaliki. Utasikia mtu akimsifu JPM wanamwika msukuma, Mataga, .nyie vibaraka wa wazungu(Pro- european). Mamilioni wa TZ Tulimpenda Rais kwa kuwa ametufungua machao, na tunaisha Falsafa zake mf tunatembea mitaani bila ma barakoa,wala chanjy
 
Washwa washwa, ruka ruka, ila JPM what he started, must be finished by 2025. Hizo point zako 24 ni useless.
 
Mtu mwenye akili fupi kama panya anapokosa hoja za kutetea hukimbilia kwenye ukabila.
Leta hoja siyo kupiga kelele kama mtetea anataka kutaga.


Dont Panic mzee we relaaaax😀

Hizo hoja mtahojiana na mataahira wenzio mlio loose hope 😀😀😀😀😀😀😀😀

Unataka uforce tufanane kwanza puumbavuu😀😀😀😀😀😀😀

Na usinifokee
 
Sijawahi kuipenda ccm ila sina sababu ya kumdhihaki wala kumponda Magufuli ametuonyesha mwanga mkubwa sana na ametufanya tuthaminike,Rest in peace mr president
 

It’s over there is no legacy or nini.
 
Una point ya msingi, ila 2025 watz tutafanya tathmini ya kipi kimefanyika. Ogopa sana mtu aliyeacha alama ya vitu.
Ukishafanya tathimin wewe ndie utaamua Rais awe Nan kati ya 2025 had 2030?
Kila siku tumekuwa tukiimba katiba mpya lakin mlikuwa mnabeza kisa baba yenu alishika usukani kibaya Zaid mkataka had kumuongezea muda wa ziada .

Sasa nasema hivi Rais samia haguswi kwa lolote lile na hakuna kima yoyote wa kumzuia akiamua hili ni ameamua maana ana kinga kubwa ndan ya serikal had kwenye chama chake .

Hata hao wabunge wa ccm walio weng hawakupita kihalal lakin jiwe aliwapitisha kwasabab alikuwa na maamlaka hayo .Sasa endelea kuota et 2025 tutafanya tathimin ,na ukishafanya utafanya nn kwa mfano.

Hii nchi itakuja kuwa sawa had pale katiba itakapobadirishwa na kupunguza meno kwa rais .

Mara ngapi jiwe alikuwa anafanya atakalo na hakwepo wa kuhoj Wala kupinga.dawa ya yote haya ni katiba imara bas tofaut na hapo utakuwa mwendo wa kulia lia tu kila siku ,na utakuwa mwendo wa kupokezana kuimba pambio Kama Sasa ambapo waimba pambia wa meko saiz mnalia huku waimba pambio wa samia wanacheka tu saiz
 
Washwa washwa, ruka ruka, ila JPM what he started, must be finished by 2025. Hizo point zako 24 ni useless.
Hakuna ulazima huo ,itafuatana na utashi wa samia akisema hafany utamfanya nn kwa mfano.

Rais Ana kinga ya ajabu sana na haguswi Wala kupingwa ,ukitaka kulijua Hilo siku jichanganye uende pale magogon na mabango ya kulazimisha huo uharo wako majibu utayapata vzr sana .

Katiba ,katiba ,katiba ndio muarobain wa yote haya ,kipind jiwe yupo madarakan hamkutaka kabisa habar za katiba ,kibaya Zaid mlitaka kuipindisha had iliyoopo kwa kutaka kuongeza muda wa ziada .

Kwa style ya meko ,samia nae akiamua anaweza kuongoza hii nchi had 2035 ,labda aamue yeye tu kukaa pemben maana uwezo anao sana tu
 
Well said bro. African tunafail kwenye output. Tunakalia kwenye siasa
Na maneno mengi ila output ni zero. Our hero JPM alikuwa ni mzee wa output. No matter njia alizozitumia zikoje ila output tumeiona. Sasa kaacha tangible things ambazo kuzipinga ni ujinga mkubwa sana. Ole wao wenye madaraka wasiziendeleze, watakuwa wamejichimbia kaburi.
 
Tatizo lenu nyie mnaolia lia lia na katiba, mnalinganisha nchi zetu na nchi za magharibi. Unadhani ukiwa na katiba kama ya USA ndo nchi itatoboa. Sio kweli hata kidogo, tunaona mataifa kama Russia, China bado yako imara na yanaendelea kwa kasi. Democracy imetengenezwa kwa ajili ya kugawana ulaji wa raslimali za nchi, ila haina nia ya dhati ya kuendeleza taifa. Africa tunaitaji kiongozi mwenye nia ya dhati na maendeleo yetu. Kubali ukatae Kumpata kiongozi kama JPM siyo rahisi hata kidogo. Na hii huwezi kuiona kwa sasa mpaka muda flani upite ndo utakuja realize. Kwa sasa utanipinga, ila nakupa miaka 4 tuu. Katiba iliyopo inatosha kabisa.
 
pole siku 21 tushasahahau kama jiwe alikuwa anatuongoza
 
Sijasema napinga utawala. Soma between the lines. uelewe. Nawala sijasema nimepanga kuandamana. Narudia pale mnyonge anapokoswa haki, na anapofikia kuchoka. Ni kwamba kakata tamaa. Lolote na liwe. Hivyo sijaongelea kuitisha watu. Ni automatic action!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…