Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
NImependa hapo. Unapotaka hatua kali zichukuliwa. JE unajua kuwa hao Makuwadi wa sasa ndio walikuwa makuwadi wa kipindi cha JPM?Anayemsulubu ni nani?
Au zile taarifa za CAG?
Ulitaka CAG aseme ATCL wanapata faida ya shilingi ngapi?
Asee hii nchi ni ngumu sana.Kwa watu wasiopenda ukweli na uwazi watakuunga mkono.
Ukweli lazima usemwe ili taifa lipone,maana haki huinua taifa.
Jambo pekee ninalotarajia,ni hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote waliohusika kufanya mambo hayo.Iwapo hatua hazitachukuliwa,basi hata maana ya kuyaweka wazi haya haitakuwepo