NImependa hapo. Unapotaka hatua kali zichukuliwa. JE unajua kuwa hao Makuwadi wa sasa ndio walikuwa makuwadi wa kipindi cha JPM?
 
W
Atakayefuta legacy ya Magufuli ni Samia na ndani ya wiki 2 tu tumeshamsahau umebaki wewe unayelialia.
Wote hao wanatembelea nyota ya JPM si rahisi kuondoa legacy kwa vile ameacha alama ya mambo yaliyoshindikana miaka mingi. He was a result oriented man wengine wasipoangalia wataishia porojo.
 
Mkuu,Mimi narudia tena!!Kuna mchezo mpya unapikwa.Tuskubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao.Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara.Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.
Michezo ipi wewe mkuu?
Hayo niliyoandika yalitokea na wote tulishuhudia.
Magufuli hachafuliwi, alikua mchafu na tulikuwa tunajua.
Mimi binafsi sishangazwi na haya yanayo fichuliwa kwa sasa
 
Michezo ipi wewe mkuu?
Hayo niliyo andika yalitokea na wote tulishuhudia.
Magufuli hachafuliwi, alikua mchafu na tulikua tunajua.
Mimi binafsi sishangazwi na haya yanayo fichuliwa kwa sasa
Magufuli alikuwa mchafu kwa sababu mfumo wetu uliruhusu awe mchafu. Mfumo bado upo na uchafu bado unaendelezwa. Shtukeni.
 
Wewe ndio unataka kutupeleka kubaya. Unataka kuanza kuleta dhana potofu dhidi ya ukweli. CAG anatoa uhalisia wa kile alochokigundua.
Na sijui kama asingepunguziwa bajeti,tungesikia mangapi!

Taifa langu nalihurumia sana.
Mkuu,Mimi narudia tena!!Kuna mchezo mpya unapikwa.Tuskubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao.Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara.Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.
 
Mimi niko na wewe hata kukibaki wawili.

Kuna fala amenisimanga eti kama nimeumia niende kulala juu ya kaburi,

Ndio naenda Chato kabisa kugalagala juu ya kaburi.
 
Wewe ndio unataka kutupeleka kubaya.Unataka kuanza kuleta dhana potofu dhidi ya ukweli.CAG anatoa uhalisia wa kile alochokigundua.
Na sijui kama asingepunguziwa bajeti,tungesikia mangapi!

Taifa langu nalihurumia sana.
Mkuu, CAG kafanya kazi yake, Swali ni Je amefanya kwa weledi? Je amelenga kweli kuiendeleza nchi au kuendeleza mfumo. Jaribu kufikiria tu iwapo JPM angekuepo ingesomwa ripoti gani? Ninachotaka mjue ni hiki. Inukeni mdai mabadiliko ya Mfumo badala ya kushangilia kama kuku waliokatwa vichwa. Mimi nawaambia tena bila mifumo imara tutachezewa sana
 
Acha kushabikia Ujinga, Ndugu zako kule Kijijini wana life ngumu sana kwa sababu ya Sera za hovyo, wewe kuwa mjini ushajiona ume win sana acha ujinga sana wewe, angalia ndugu zako wanavyoteseka kule Kijijin kwenu
 
Tumalize kwanza kujadili report ya CAG, kwa uwazi bila uoga, then tutarudi kwenye blah blah za propaganda za mwendazake!

Mie hasara ya mindege ile!! Hizo bil60 zingekuja mtaani, tungekuwa na mzunguko.
Nikifikiria Chato Mfugale tower!
Nikiangalia ugumu wa maisha, wa TRA kutubambika kodi miaka mi5 nyuma na kufunga biashara.
Mwendazake aende zake! Aende! Aende

Everyday is Saturday................................😎
 
Mimi niko na wewe hata kukibaki wawili.

Kuna fala amenisimanga eti kama nimeumia niende kulala juu ya kaburi,

Ndio naenda chato kabisa kugalagala juu ya kaburi.
Wewe nenda tu. Mimi najua kwamba tatizo mfumo ndo lilimleta Magufuli na tatizo la mfumo ndio lilimuondoa na tatizo la mfumo ndio linaendelea kutuletea madubwana tofauti tofauti
 
Kinachomhukumu jiwe ni MATENDO yake mwenyewe alipokuwa hai
 
Mkuu,kuna mchezo mpya unachezwa.Mimi nimeuona kama ambavyo niliuona wa JPM kabla haujatokea.Huu wa sasa unaweza kuwa mbaya zaidi.
Report ya CAG ni International standard, usidhani wanaandaa kufurahisha watu. Yaani wewe ni pimbi sana, watu wanapiga nchi wewe unawashabikia
 
Kwani wakati yy anaaminisha alikuwa ama nia njema
 
Acha kushabikia Ujinga, Ndugu zako kule Kijijin wana life ngumu sana kwa sababu ya Sera za hovyo, wewe kuwa mjini usha jiona ume win sana acha ujinga sana wewe, angalia ndugu zako wanavyo teseka kule Kijijin kwenu
Mkuu unafikiri kuna kinachoenda kubadilika kwa mfumo uliopo sasa hivi? Msikubali kuendelea kutegemea utashi wa viongozi. Lazima tudai taasisi imara.
 
Waporaji wa mali za umma wanajenga hoja na mazingira mapya ya kufaidi raslimali. Mama uwe macho wasikuchafue kwenye macho ya jamii.
 
Report ya CAG ni International standard, usidhani wanaandaa kufurahisa watu. Yaani wewe ni pimbi sana, watu wanapiga nchi wewe unawashabikia
Mkuu so unafikiri kwamba hawa wengine nao hawaipigi nchi?Mimi nachokoza watu tudai Mabadiliko ya Mfumo na sio kuletewa ripoti za CAG ambazo zinaandaliwa kwa utashi wa kiongozi aliyeko madarakani.NEVER
 
Waporaji wa mali za umma wanajenga hoja na mazingira mapya ya kufaidi raslimali. Mama uwe macho wasikuchafue kwenye macho ya jamii.
Wewe unaanza kuelewa.Watu wana injika menu mpya jikoni.Shtukeni
 
Ujinga wa kulazimishana ulishapita kila mtu ana uhuru wake kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…