Ujinga wa kulazimishana ulishapita kila mtu ana uhuru wake kwa sasa
Mkuu uhuru ambao haupo kimfumo bali ni kiutashi nao unata uhuru.Unajua kuwa huu uhuru upo kwa sababu ya utashi wa aliyepo na sio kwa sababu ni wa kimfumo.Daini Mfumo acheni kuwa kama mazuzu ambayo yenyewe yanasahau tatizo la msingi kwa propaganda.JPM alianzaga kwa style kama hii mmekuja kushtuka tayari kashajenga mfumo wake.
 
Asulubiwe tu kuchoma nyavu zetu halali alitegemea hiyo miradi ya alinacha ndio itatulisha sisi nakusomesha watoto zetu sijawahi kuona rais mnyanganyi kama yule aliokufa mungu amlani huko alipo
 
Mkuu,Mimi narudia tena!!Kuna mchezo mpya unapikwa.Tuskubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao.Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara.Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.
Wewe ni pumbavu!
Hukumbuki watu walipogoma enzi za mtakatifu wako aliwapiga risasi.

Leo unataka watanzania wagome kwa maslahi muuaji?
NB
Mfu hutetewa na matendo yake
 
Asulubiwe tu kuchoma nyavu zetu halali alitegemea hiyo miradi ya alinacha ndio itatulisha sisi nakusomesha watoto zetu sijawahi kuona rais mnyanganyi kama yule aliokufa mungu amlani huko alipo
Subiri Utamuona kama hautadai mfumo imara na madhubuti
 
Wewe ni pumbavu!
Hukumbuki watu walipogoma enzi za mtakatifu wako aliwapiga risasi.

Leo unataka watanzania wagome kwa maslahi muuaji?
Muuaji kashakufa hana maslahi.Ni kwa maslah yetu sisi.Tusikubali kuongozwa na utashi tu.Tudai haki ya kimfumo
 

MEKO alikuwa mwizi mkuu ,simameni wewe na ukoo wako kumtetea.
 
W

Wote hao wanatembelea nyota ya JPM si rahisi kuondoa legacy kwa vile ameacha alama ya mambo yaliyoshindikana miaka mingi. He was a result oriented man wengine wasipoangalia wataishia porojo.
Taja walau moja tu unaloamini limeshindikana kaliweza yeye
 
Mkijaribu kuandamana tutawapiga kipigo cha mbwa koko

Hiyo miguu tutaivunja kama miwa... Badala mfanye kazi mnataka kuleta ujinga alafu baadae mkipatwa na njaa muanze kuilaumu serikali. Fanyeni kazi msipende dezodezo
 
Mimi huyuhuyu niliekaa miaka 5 kwa matumaini kuwa atatangaza ajira ili maisha yawe nafuu alafu hajatangaza,mbaya zaidi tunakuja kujua na ela zetu kumbe walikua wanajibebea tu kama zao!kwakweli ntamtetea tukifika mbinguni ila sio hapa,nimekataa kabisa
 
Duh....
Tumuombee jambazi aliyeangamiza demokrasia ya Tanzania.

Tumuombee jambazi aliyecelebrate miili ya watu waliookotwa kt lambo uko coco beach.

We should celebrate death of dictator magufuli
 
Sawa Chief andoza, lakini bado hujajibu swali.
Doctor Yohana alipoulizwa kuhusu kufanya mabadiliko ya Katiba alisemaje?
Huoni kuwa labda angehepuka kikombe hicho cha huo "mfumo" unaoongelea wewe?

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Yeye alishaharibu legacy yake.Sisi tuliobaki tunao wajibu wa kukataa mfumo wa pindua meza uendelee.Tutake Mfumo imara.Tumlinde CAG,Tumpunguzie Rais Mamlaka zaidi na Tulete heshima ya mfumo hapa kwetu
 
Mimi niko na wewe hata kukibaki wawili.

Kuna fala amenisimanga eti kama nimeumia niende kulala juu ya kaburi,

Ndio naenda chato kabisa kugalagala juu ya kaburi.
Hiyo haitoshi omba kufunguliwa kabuli ulale karibu yake.
Maana enzi za ujinga watemi kanda ya ziwa walizikwa wakiwa wamekaa pamoja na kijana aliyehai kawaulize walimaanisha nini.
Pumbav kabisa
 
Andoza futa huu uzi.

Una heshima yako sana huku jukwaani, usijiingize kwenye masiasa.

Hakuna mtu anamsulubu Magufuli na ili kumtetea Magufuli maana yake unataka CAG asifanye kazi yake, this is what you want Andoza?
 
Mkuu,Mimi narudia tena!!Kuna mchezo mpya unapikwa.Tuskubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao.Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara.Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.
Ukigoma wewe inatosha!
 
Kwani kuna nn mpaka atetewe? Kadhulumiwa nn maana ni chama chake ndo wapo madarakani wanaendeleza kaz, au CCM wanamdhulumu nn? Nadhan tujikite kusoma report ya CAG kwa kina ili tujue taifa letu lilikua linaekea wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…