Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli
Andoza futa huu uzi.

Una heshima yako sana huku jukwaani, usijiingize kwenye masiasa.

Hakuna mtu anamsulubu Magufuli na ili kumtetea Magufuli maana yake unataka CAG asifanye kazi yake, this is what you want Andoza?
CAG anafanya kazi yake vizuri ila sheria bado inambana afanye kazi kwa kutegemea UTASHI wa BOSI wake na UTASHI wake Binafsi.Ni lazima CAG awe na mamlaka kamili ya kutoa ripoti yake bila kufanyiwa aliyofanyiwa PROF ASSAD.Na hio ndio sababu ya mimi kuchokoza huu mjdala kwa sababu JPM ameshakufa na Madudu yake yanaletwa lakini JE kuna uwezekano kwamba walik=okuwa hawafaidiki na mfumo wa JPM wanataka kuweka mfumo utakaowafaidisha wao na wameamua kutumia utashi wao kucheza na akili za watanzania?
 
Mimi Leo Nasimama Kuhesabiwa,Nasimama Kuonekana ili wakati ukifika basi Iwe kwamba nilisimama.
Natambua kabisa kwamba Hayati Magufuli hakuwa Mbegu Bora kabisa ya kiongozi katika nchi ila kinachoendelea sasa hivi sio dhuluma dhidi ya Magufuli bali ni dhuluma dhidi ya Watanzania ambao ni wazalendo wa nchi hii.Nasema tena hii ni dhuluma dhidi ya Watanzania.

Sijajua Dhuluma hii ni kwa sababu ya Uoga au ni unafiki wa Watanzania.Naona kabisa inatumika nguvu kubwa sana kutaka kuuaminisha umma kwamba miradi yote ya Magufuli ni shody na kwamba sasa ni wakati wa kuiacha.Niseme tu ukweli kwamba kuna weza kuwa kuna matatizo katika miradi hii ila kwa kweli sidhani kama ni sawa kinachoendelea sasa hivi.

Ninasikia Sauti ya Magufuli akilia na kulaani kwamba hata kabla hajaoza tayari ameanza kusulubiwa na kulaaniwa hata katika maeneo ambayo alijitahidi kuyaweka sawa.Swali langu ni

Je ni kweli kwamba hawa wanaotuaminisha leo kwamba kila kitu hakifai kweli wana nia njema na taifa letu?Au nia yao ni kujijengea mazingira ya kuweka mambo yao sawa?
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfukulizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cultifollowing.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na mavi yake😂😂😂😂
 
Mimi Leo Nasimama Kuhesabiwa,Nasimama Kuonekana ili wakati ukifika basi Iwe kwamba nilisimama.
Natambua kabisa kwamba Hayati Magufuli hakuwa Mbegu Bora kabisa ya kiongozi katika nchi ila kinachoendelea sasa hivi sio dhuluma dhidi ya Magufuli bali ni dhuluma dhidi ya Watanzania ambao ni wazalendo wa nchi hii.Nasema tena hii ni dhuluma dhidi ya Watanzania.

Sijajua Dhuluma hii ni kwa sababu ya Uoga au ni unafiki wa Watanzania.Naona kabisa inatumika nguvu kubwa sana kutaka kuuaminisha umma kwamba miradi yote ya Magufuli ni shody na kwamba sasa ni wakati wa kuiacha.Niseme tu ukweli kwamba kuna weza kuwa kuna matatizo katika miradi hii ila kwa kweli sidhani kama ni sawa kinachoendelea sasa hivi.

Ninasikia Sauti ya Magufuli akilia na kulaani kwamba hata kabla hajaoza tayari ameanza kusulubiwa na kulaaniwa hata katika maeneo ambayo alijitahidi kuyaweka sawa.Swali langu ni

Je ni kweli kwamba hawa wanaotuaminisha leo kwamba kila kitu hakifai kweli wana nia njema na taifa letu?Au nia yao ni kujijengea mazingira ya kuweka mambo yao sawa?
Hii yote imesababishwa na report za CAG?
Nyie watu acheni kuwajumuisha watz kwenye ujinga wenu.
Rais JPM (R.I.P) Kuna mazuri amefanya na mabaya amefanya.
yale mazuri yanaonekana na mabaya pia yamemulikwa. marehem hakuwa perfect huu ndio ukweli.

UKWELI NI KUWA, HAKUNA MTU ANA MUDA NA MAREHEM. MWILI UKISHA WEKWA KABURINI HABARI NA MAMBO YAKE YANAISHIA HAPO HAPO.
 
Kama hili ni taifa LETU wewe linakuhusu nini. Yaani una taka sisi wenye nchi YETU na taifa LETU tumtetee marehemu. Are you out of you mind?
Sisi sasa tunamtetea Mh SSH.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Subiri Utamuona kama hautadai mfumo imara na madhubuti
Mfumo imara nikumuwekea raia afanye shughuli zake halali bila hofu walakubugudhiwa nasio kumsingizia mambo iliupate namna yakumdhulumu maliyake yule alikuwa janga kubwa kwakwelimu
Duh....
Tumuombee jambazi aliyeangamiza demokrasia ya Tanzania.

Tumuombee jambazi aliyecelebrate miili ya watu waliookotwa kt lambo uko coco beach.

We should celebrate death of dictator magufuli
mungu amlaani kabisa
 
viongozi wote wa ccm wamebebwa na legacy ya MAGHUFULI sasa wanavyoanza kuponda kazi za raisi aliyepita wanajichimbia kaburi tena zito
Huo ndiyo ukweli. Lakini wanaloshindwa kuliona ni ukweli kwamba misingi aliyosimamia haitakufa na daima itaungwa mkono na mass.
Hizo propaganda ni short lived. Bahati nzuri siasa inahusisha uchaguzi na agenda zake huwezi kuzikwepa ili upate Kura. Hao money and power mongers wachache wanaonekana wana nguvu muda huu sababu wanacontrol mass na social media.
 
Mti mkubwa ukigwa,ndege tegemezi huteseka. Hili kabila tulielewe jamani,linapita pagumu eti. Wanaandika yote haya kwa sababu ya STRESS. Tuwafariji kwa kuwaambia ni kweli legacy ya yule mtu itadumu miaka Mia ijayo
 
Mimi Leo Nasimama Kuhesabiwa,Nasimama Kuonekana ili wakati ukifika basi Iwe kwamba nilisimama.
Natambua kabisa kwamba Hayati Magufuli hakuwa Mbegu Bora kabisa ya kiongozi katika nchi ila kinachoendelea sasa hivi sio dhuluma dhidi ya Magufuli bali ni dhuluma dhidi ya Watanzania ambao ni wazalendo wa nchi hii.Nasema tena hii ni dhuluma dhidi ya Watanzania.

Sijajua Dhuluma hii ni kwa sababu ya Uoga au ni unafiki wa Watanzania.Naona kabisa inatumika nguvu kubwa sana kutaka kuuaminisha umma kwamba miradi yote ya Magufuli ni shody na kwamba sasa ni wakati wa kuiacha.Niseme tu ukweli kwamba kuna weza kuwa kuna matatizo katika miradi hii ila kwa kweli sidhani kama ni sawa kinachoendelea sasa hivi.

Ninasikia Sauti ya Magufuli akilia na kulaani kwamba hata kabla hajaoza tayari ameanza kusulubiwa na kulaaniwa hata katika maeneo ambayo alijitahidi kuyaweka sawa.Swali langu ni

Je ni kweli kwamba hawa wanaotuaminisha leo kwamba kila kitu hakifai kweli wana nia njema na taifa letu?Au nia yao ni kujijengea mazingira ya kuweka mambo yao sawa?
Ajitetee Mwenyewe wewe Atakutetea nani
 
Ukigoma wewe inatosha!
Mkuu,Mimi nimeweka hoja,Mimi sio Team Magufuli ila katika hili nimeona niseme wazi tusikubali nchi yetu kuwa na mifumo dhaifu kiasi kwamba iwe ni Rahisi kwa RAIS kuamua kufanya mambo kwa utashi wake.Wanaomsulubu ni wale wale swali ni JE ni nini kimebadilika au ni nini wanabadilisha.Mara hii wamegeuka Malaika watetezi wetu na kujificha nyuma ya JIWE ambaye walisimama kumtetea kwa nguvu?JE huoni kuna tatizo mahali?
 
Magufuli alikuwa mchafu kwa sababu mfumo wetu uliruhusu awe mchafu.Mfumo bado upo na uchafu bado unaendelezwa.Shtukeni.
Wengine kina Kikwete na Mkapa walikuwa wezi. Magu yeye alikuwa PORAJI kuu.

#CoronaBabaLao
 
Tundu Lissu, Lema na Chadema kwa ujumla mkitaka kuuwa legacy ya hayati rais Magufuli kwa watanzania itabidi ufanye yafuatayo.

Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?

Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa?

Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.

Muda utaongea .
Hio ndio ukweli na Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Ajitetee Mwenyewe wewe Atakutetea nani
Mkuu,unaelewa Msingi wa HOJA yangu?Kama tusipokuwa na mifumo imara tukaendelea kuongozwa na utashi na hobi za viongozi tutapata viongozi wengi wa Calibre ya Magufuli ambao watatunyanyasa.Na hata sasa hivi kinachoendela ni kuandaa PISHI jipya ili kubadili status quo na kuanza kula upya
 
Mkuu,Mimi narudia tena!!Kuna mchezo mpya unapikwa.Tuskubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao.Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara.Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.

Eti tumtetee
Unakumbuka kejeli zake
Unakumbuka kelele zake
Matusi yake je
Acha tuchezewe
Lakini si shetani yule

Alitunanga na Tambo zote
Kwa yote yake makeke
Hakika tulitosheka
Acha tupumzike
Kwa vyote vigezo
Mama ametupa vigelegele
Acheni apumzike
Huko mahali pake
Mwendazake ni mwendazake!
 
Katiba mpya ndio suluhisho
Mkuu,unaelewa Msingi wa HOJA yangu?Kama tusipokuwa na mifumo imara tukaendelea kuongozwa na utashi na hobi za viongozi tutapata viongozi wengi wa Calibre ya Magufuli ambao watatunyanyasa.Na hata sasa hivi kinachoendela ni kuandaa PISHI jipya ili kubadili status quo na kuanza kula upya
 
Mkuu,CAG kafanya kazi yake,Swali ni Je amefanya kwa weledi?Je amelenga kweli kuiendeleza nchi au kuendeleza mfumo.Jaribu kufikiria tu iwapo JPM angekuepo ingesomwa ripoti gani?Ninachotaka mjue ni hiki.Inukeni mdai mabadiliko ya Mfumo badala ya kushangilia kama kuku waliokatwa vichwa.Mimi nawaambia tena bila mifumo imara tutachezewa sana
Kwa hiyo mlitaka CAG asome ripoti gani? Nyie si mlikuwa mnampangia cha kusema?? Sasa ameamua aseme maana anaruhusiwa.. kazi kwenu kumsafisha mwendazake
 
Back
Top Bottom