Kama ni CDM sawa ila sio wana Arusha ....Mark my word ....twende na Bananga ....Well it’s CDM decision
Nani unadhani utakuwa enforcer wa Mbowe na CDM ukimtoa Lema?
CDM inamuitaji Lema kushinda Lema invyoitaji CDM. In fact upinzani unamuitaji Lema kama askari mzoefu katika harakati zao ambazo bado changa sana kuweza isumbua CCM.
Ni maamuzi ya CDM mwisho wa siku I am just airing my opinion.
All the bestKama ni CDM sawa ila sio wana Arusha ....Mark my word ....twende na Bananga ....
Sure. Lema watu wamemchoka. Gambo anakubalika Muriet zaidi, infact, walidhani Muriet lingekua Jimbo jipya but tume wamekataa so hapo mjini wakitaka kushinda wampe Bananga ukizingatia pia Mambo ya dini na nn! Hope umenierewa.Chadema must be very smart ..... Lema watu wa Arusha hawamtakiiiii ...... Bananga amejijenga kitambo huko underground kuliko Lema ....
Bananga kafanikiwa kujijengea ngome pana sana ...Lema akajisahau sana na kuzusha unnecessary conflicts! Sasa makamanda wanataka kufanya kazi na mtu mwingine ....Sure. Lema watu wamemchoka. Gambo anakubalika Muriet zaidi, infact, walidhani Muriet lingekua Jimbo jipya but tume wamekataa so hapo mjini wakitaka kushinda wampe Bananga ukizingatia pia Mambo ya dini na nn! Hope umenierewa.
Pengine upeo wake roporopo Ni Mdogo ukizingatia shule hamna mule.Bananga kafanikiwa kujijengea ngome pana sana ...Lema akajisahau sana na kuzusha unnecessary conflicts! Sasa makamanda wanataka kufanya kazi na mtu mwingine ....
Dr Slaa hajatia nia Karatu ?Alafu Lema kujitangaza kama vile ameshashinda kura za maoni zimetibua sana ...anajiona kama Arusha ameitia mfukoni wakati Bananga yupo huko underground anajijenga ....
Roporopo alifanya Jimbo mali ya familia. Anamuweka Mamsapu Kama Naibu. Ha ha ha. Siasa za nchi zetu hizi ukikosea kitu kidogo wakichanganya na mengine umeondoka.Alafu Lema kujitangaza kama vile ameshashinda kura za maoni zimetibua sana ...anajiona kama Arusha ameitia mfukoni wakati Bananga yupo huko underground anajijenga ....
Lema wananchi wanamchukulia kama msaliti hivi ...Alafu Bananga kajijenga sana ....Demokrasia ichukue mkondo wake. Lema muda mwingi alikuwa lupango,Bananga alikuwa karibu na wananchi. Nani zaidi ?
Mkuu huu ni uzi wa Lema vs Bananga ...[emoji41]Dr Slaa hajatia nia Karatu ?
Labda alikua karibu na wananchi wa pale club kwa Msando.Demokrasia ichukue mkondo wake. Lema muda mwingi alikuwa lupango,Bananga alikuwa karibu na wananchi. Nani zaidi ?
Bananga kafanya vitu vinaonekana.Lema wananchi wanamchukulia kama msaliti hivi ...Alafu Bananga kajijenga sana ....
Slaa anaogopa kutumbuliwa akija kuchukua form,labda huyo jamaa mfuasi wake atamchukulia form.Dr Slaa hajatia nia Karatu ?
Msalimie FRANCIS DA DON mzee baba.Mwenyekiti asijiloge kulazimisha Mambo maana Oktoba tutampatia surprise mujarabu
chadema ilishakufa, sasa hivi ni tunajiandaa kuizika tu ..Wasirra alisema itakufa kabla ya 2015 ila cha ajabu Wassira yuko benchi mpk leo hii akilia aliibiwa kura zake.