Yeshua ni Yesu kwa kiebrania.Yeshua ndiyo nani?
Kumuamini Mungu kupitia kwa Yesu ni kupoteza muda.Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).
Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.
2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).
Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.
3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).
Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.
4. Wasiomkiri Yesu ,masikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).
Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.
(John 14:6)
Jesus: I'm the only way, thrth and life
Mwisho wa kunukuu,
Sasa unapoteza muda kufunga, huli chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu,njia pekee,kweli na uzima, hii ni hatari.
Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,
Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.
Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Mungu aumbe mbingu na nchi ashindweje kuvaa mwili aonekane kama Mwanadamu?
Kina nani waliolichakachua?Yeshua Ni Jina halisi la Yesu kabla Hawajalichakachua WTu
Sasa kumwamini Mungu na usijue kuwa Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja ni kupoteza muda na kujilisha upepo ukiamini utajaza tumbo kuondoa njaa.Kumuamini Mungu kupitia kwa Yesu ni kupoteza muda.
Mungu ni mkuu hahitaji wakala. Zinduka.
Ngoja niendelee na mambo mengine nisije jiumiza kichwa changu bure.Yeshua ni Yesu kwa kiebrania.
Yeshua ni Yesu kwa Swahili na ni Jesus kwa Kiingereza.
Hamashiach ni Kristo.
Yesu Kristo=Yeshua Hamashiach
Sentensi hiyo Uliyoandika Haijustufy Umungu wa Yesu Hata kidogo..(Yohana 5:43)
Jesus says: Mimi nimekuja kwa "JINA LA BABA YANGU" wala ninyi hamnipokei.
Ndipo ujue, YESU ni jina la Mungu.
Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
Yesu Hakuzaliwa na Baba Kwa Mujibu wa Quran na Biblia..Mungu aumbe mbingu na nchi ashindweje kuvaa mwili aonekane kama Mwanadamu?
Nimekuuliza baba wa Yesu ni nani hujibu!
Hizo aya zipo kwenye kitabu gani, inawezekenaje unidhitishie kwa Maandiki ya kitabu Cha imani nisiyo iamini.Yohana 1:1-10
Isaya 9:6-10
Hoja zako ni dhaifu sana, sababu unajatibu kutumia akili finyu ya darasani kufungua codes za Biblia.Sentensi hiyo Uliyoandika Haijustufy Umungu wa Yesu Hata kidogo..
Ngoja Nikufundishe Linguistic Kidogo Pengine Tatizo ni Lugha..
In Koine Greek Asili ya Agano Jipya Au kutumia Biblia ya Kwanza ya Agano jipya (Septuagint) neno Hilo Linaandikwa kama Ifuatavyo..
"ἐγὼ ἐλήλυθα ἐν τῷ ὀνόματι τοῦ πατρός μου"
Na Inatamkwa Hivi..
Egō elēlytha en tō onomati tou patros mou
Atleast ingekuwa Unachosema Kina Ukweli Kama ingeandika Hivi..
ἐγὼ ἐλήλυθα μετὰ τοῦ ὀνόματος τοῦ πατρός μου
Na ingetamkwa hivi..
Egō elēlytha meta tou onomatos tou patros mou
Sasa Twende Kwenye Elimu..Tujifunze Preposition
ἐν τῷ ὀνόματι (en tō onomati) = "in the name" au "Nimekuja Kwa jina la Baba"..
Yaani Nimekuja Katika Jina La baba.. (Sentensi Hii Hainyeshi Possesion Ila Inaonyesha authoritive "Yaani hilo Jina amekuja Nalo Ili Wamwelewe"
Lets Say Umetumwa Uende Sehemu Ukaambiwa Ukifika Pale waambie Nimetumwa Na Fulani watakuelewa..
ukafika Utasema Nimetumwa na Fulani na Watafanya Jambo hilo ila Katika jina La Aliyekutuma Na Wewe Utakuwa Authotive na Sio possesion..
Na Ndo maana Wakristo hasa walokole wanaomba In The Name of Jesus Haimaanishi Kuwa Tayari wao ni Majesus ila Wanakuwa na Authoritative Ya Jina ila hawana Possesion ya Jina..
Sijui Kama Umenielewa?
Ingeandikwa hivi
μετὰ τοῦ ὀνόματος (meta tou onomatos) = "with the name"
hii Kauli inamaanisha Possesion ability..
yaani Huyo anayesema Hivyo Ni muhusika Moja kwa Moja..
huonagi Hata FBI au CIA au Polisi Wakija Kukuhoji wanakuambia My Name is ** I am With FBI/CIA?
unajua Inamaanisha Nini Yeye Ni FBI/CIA na anaongea With Possesion Power..
So , "in the name" implies representation, whereas "with the name" suggests possession or accompaniment...
Sijui kama Umenielewa..
Narudia Tena Hoja Zako Ni dhaifu sana Za Utetezi wako
Sasa Yesu azaliwe bila baba ,iweje awe na mama?Yesu Hakuzaliwa na Baba Kwa Mujibu wa Quran na Biblia..
Na Huo ndo Muujiza wake wa Kwanza..
Ila alizaliwa na mama..
Ila alikuwa na Baba Mlezi ambaye Dunia Kipindi hicho Ilimfahamu Kama Yusufu..
Mungu anayeweza Kuvaa Mwili wa Mwanadamu ambaye anakiri yeye Mwenyewe Ni Dhaifu Ni Mungu ambaye SI wa kweli
Kwamba kusema kuzimu kuna moto, na ardhini chini ya maji kuna volcano ulio moto uwakao,Hilo wazo la kusema watu wanachomwa ni wazo la kijinga sana..
BIBLIA takatifuHizo aya zipo kwenye kitabu gani, inawezekenaje unidhitishie kwa Maandiki ya kitabu Cha imani nisiyo iamini.
Mfanye kwanza mtu aamini imani yako, alafu ndipo aamini maandiko ya kitabu chako.
Kitabu ni mwongozo tu wa kufuata ukiwa tayari unaamini huko.
Kuniandikia isaya, mathayo ndiyo nini, yaani nitaamini isaya na mathayo ikiwa siamini imani yote, ambayo isaya na mathayo wako ndani.
Watanielewa wanaoelewa tu.
Sijakuelewa unajibu kipiBIBLIA takatifu
Kuwa mkristo SI kigezo Cha kuepuka moto,Hakuna moto unakaowagusa wakristo moto umeandaliwa.kwa ajili ya waislamu tu mudi.tayari katangulia kule
Watafsiri Mkuu..Kina nani waliolichakachua?