Kuzimu kuna moto,Wewe ni kilaza, na nina uhakika huna hata D mbili,
kutwa kuchwa kuongelea yesu na ngano za mashariki ya kati, sababu huna upeo kuongelea maendeleo ya elimu, wala sayansi, teknolojia na wala biashara, umejikubali
huna tofauti na washabiki wa yanga na simba.....
Na hawa hapa vilaza wenzako, ngara23 , Yesu Anakuja , MK254 , ambao mko level moja vilaza pro max
Ndio ni sawa haendekezi uovu lakini sio mkatili kuchoma watu motoni kwa bilioni ya miakaMungu Enzi za Musa amewahi iamuru ardhi ifunuke watu wakamezwa hai sababu ya DHAMBI.
Mungu ni mtakatifu,haendekezi UOVU.
(Ufunuo 20:14-15)Ndio ni sawa haendekezi uovu lakini sio mkatili kuchoma watu motoni kwa bilioni ya miaka
Mshahara wa dhambi ni mauti si moto
Na umepakataa.Kwetu ni mbinguni,
NdiPo tulipotokea, duniani tupo Katika mission ya muda tu,
Tutarejea mbinguni kazi ikiisha duniani.
Mkataa kwao ni mtumwa,Na umepakataa.
Taifa tumekula hasara.Mkataa kwao ni mtumwa,
Mimi SI mtumwa,
Mbinguni ni kwetu, na nitarudi huko baada ya kumaliza mission YANGU duniani.
Ubarikiwe 🙏
Kutomwamini Yesu ni hasara kubwa kwa maisha haya na mi.ilele yajayo.Taifa tumekula hasara.
Haya hao eanaokufa au kuuana huko Gaza,DRC,Sudan,nk huyo yesu wako ana msaada gani kwao?Kutomwamini Yesu ni hasara kubwa kwa maisha haya na mi.ilele yajayo.
Usipoteze course ya KUISHI kwako duniani, usipoteze muda na KUISHI kwa hasara.🙏
Hakika!Mambo mengine ni kupoteza muda tu,
Mwamini Yesu kwanza Kisha mambo mengine yaendelee.
Kuzimu ni halisi, na upo moto, utaenda huko usipomwamini Yesu Pakada
Amwaminiye Yesu hata akifa bado anaishi kwa kuwa anao uzima wa mile ndani yake.Haya hao eanaokufa au kuuana huko Gaza,DRC,Sudan,nk huyo yesu wako ana msaada gani kwao?
Ubarikiwe mwana wa Mungu.Hakika!
Mungu aliacha utukufu wake naye akaja kwetu katika Mwili nasi tukauona utukufu wake!
Je hao viumbe wengine samaki,kuku,kenge,nk kwao ni wapi na watarejea lini baada ya kumaliza mission zao?Na umepakataa.
Unakosea Yesu Kristo alikukufa alienda kuzimu na alienda kuzichukua na kuzivunja nguvu za giza!Jinga kweli wewe ,hao Mababu na Mabibi zako waliokutangulia kabla ya huyo yesu wameshachomwa na moto upi hadi leo
au hu moto upo kwaajil ya Waafrika tu wasiomuabufu yesu wenu??
Jikomboe kifikira kwa kuishughulisha akili yako!!
Acha maisha ya hasara,na kupoteza muda.Jinga kweli wewe ,hao Mababu na Mabibi zako waliokutangulia kabla ya huyo yesu wameshachomwa na moto upi hadi leo
au hu moto upo kwaajil ya Waafrika tu wasiomuabufu yesu wenu??
Jikomboe kifikira kwa kuishughulisha akili yako!!
Mpumbavu kama wewe ataendelea kimwamini yesu kuliko WAZAZI wake na kujenga hofu ya yesu kuliko ya WAZAZI wake,umefikiria juu ya wewe kwenda huko mbinguni na kukuta yesu unayemwamini hayupo bali BABU na BIBI zako ndiyo wapo na hukuwaamini?Amwaminiye Yesu hata akifa bado anaishi kwa kuwa anao uzima wa mile ndani yake.
Hasara ni kutomwamini,
Utakapofufuliwa kwa hukumu siku ya mwisho na ikaonekana hukumwamini Yesu aliye njia pekee, kweli na uzima,
Hiyo ni hasara kubwa sana.
Stuka mapema, believe in Jesus🙏
Sasa kutomwamini Yesu mbona ndio upumbavu?Mpumbavu kama wewe ataendelea kimwamini yesu kuliko WAZAZI wake na kujenga hofu ya yesu kuliko ya WAZAZI wake,umefikiria juu ya wewe kwenda huko mbinguni na kukuta yesu unayemwamini hayupo bali BABU na BIBI zako ndiyo wapo na hukuwaamini?
Acha upumbavu wa kusikilizishwa tumia akili zako??
Mmmm hao ni wanadamu tu! Yesu Kristo ni Mungu aliyebeba mwili ndo maana aliitwa Emmanuel kwa maana ya Mungu pamoja nasi!Mpumbavu kama wewe ataendelea kimwamini yesu kuliko WAZAZI wake na kujenga hofu ya yesu kuliko ya WAZAZI wake,umefikiria juu ya wewe kwenda huko mbinguni na kukuta yesu unayemwamini hayupo bali BABU na BIBI zako ndiyo wapo na hukuwaamini?
Acha upumbavu wa kusikilizishwa tumia akili zako??
Baada ya kuwaokoa huko kuzimu aliwapeleka wapi?Unakosea Yesu Kristo alikukufa alienda kuzimu na alienda kuzichukua na kuzivunja nguvu za giza!
Kwa hiyo watu wote ambao tayari walikuwa wameshakufa walikutana na Yesu huko kuzimu na walio mwamini aliwaokoa pia!
Siku za mwisho yatakuwepo mafundisho na roho zidanganyazo!Sasa kutomwamini Yesu mbona ndio upumbavu?
Yaani kuwa mwana wa shetani ni upumbavu mkuu,
Geuka, Rudi utubu ,uache kupoteza muda ewe mpinga Kristo