HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Nabu na Bibi zako walijufa wakaenda wapi?Unakosea Yesu Kristo alikukufa alienda kuzimu na alienda kuzichukua na kuzivunja nguvu za giza!
Kwa hiyo watu wote ambao tayari walikuwa wameshakufa walikutana na Yesu huko kuzimu na walio mwamini aliwaokoa pia!
Yesu haokoi kwa mihemuko,Yesu sio wa Wapalestina wala Waisrael ni Mungu wa wote!Baada ya kuwaokoa huko kuzimu aliwapeleka wapi?
Acha huo upumbavu huyo yesu wako kama ana nguvu kweli na nikombozi wako anasubiri nini kuwaokoa ndugu zake au wafuasi wake walio ktk vita huko Palestina,Kongo,Sudan,nk
Acha upumbavu wa kukaririshwatumia akili yako ya ASILI kupambanua mambo,weee vp??
Hivi unaakilintimamu kweli au unashuhudia ujinga na upumbavu wako uliolishwa na mabwana nzako kwa kuuleta hapa jf??Mmmm hao ni wanadamu tu! Yesu Kristo ni Mungu aliyebeba mwili ndo maana aliitwa Emmanuel kwa maana ya Mungu pamoja nasi!
Mwingine kichwa boya huyu hapa…Mmmm hao ni wanadamu tu! Yesu Kristo ni Mungu aliyebeba mwili ndo maana aliitwa Emmanuel kwa maana ya Mungu pamoja nasi!
Siwezi kuwacha na ujinga na upumbavu mliolishwa na kukaririshwa wakati ni wazi mnaaminishwa uongo na ujinga,yesu anawezaje kuwa MUNGU kitu ambacho hata kichaa atatambua kuwa ni vitu viwili tofauti?Yesu haokoi kwa mihemuko,Yesu sio wa Wapalestina wala Waisrael ni Mungu wa wote!
Kama wewe unaamini kumwamini Yesu Kristo ni upumbavu sawa!
Endelea kuamini mawazo yako na sisi tuache tumwamini Kristo Yesu!
Wewe endelea na unachokiamini! Maana tuko kwenye ulimwengu wa elimu nyingi na kila mmoja abaki na anachoamini!Nabu na Bibi zako walijufa wakaenda wapi?
Kulikuwa na haja gani ya kumuita yesu jina la yesu tena wakati walishajua ni MUNGU??Mwingine kichwa boya huyu hapa…
Mtu mweusi ni hasara sana
Yohana 1:1-14Siwezi kuwacha na ujinga na upumbavu mliolishwa na kukaririshwa wakati ni wazi mnaaminishwa uongo na ujinga,yesu anawezaje kuwa MUNGU kitu ambacho hata kichaa atatambua kuwa ni vitu viwili tofauti?
Kama yesu ni mungu kulikuwa na haja gani ya kumuita huyo MUNGU tena yesu??
Awezaye kumjua nani bila MUNGU?Ubarikiwe kaka, endelea kufanya kazi. Ila usikatishwe tamaa na comments kwa sababu wewe unasema ila hakuna awezaye kumjua bila Mungu mwenyewe kumsaidia
Neno Mungu ni neno lenye maana nyinyi kutokana na imani ya watu!Kulikuwa na haja gani ya kumuita yesu jina la yesu tena wakati walishajua ni MUNGU??
Na wakati huohuo wakiamini kuwa yesu alizaliwa na bikra maria ambaye pia aliumbwa na MUNGU je, yesu ndiye alimuumba bikra mariam ambaye ni mama yake?
Kuna kundi kubwa la Waafrika wafia dini ambaveana UKICHAA uliokomaa kwa sasa kupitia uislam na ukristo.
Wakati mwingine imagination inakupelekea ukatae facts na akili ziende likizo ya kudumu.... reasoning yako iko wapi kama Kila kitu rejea yako ni watu na maoni yao siyo maoni yakoGENGE LA MAKOBAZI WAUONE UZI HUU NA WAUZINGATIE.
Achana na huu UJINGA NA UTUMWA uliolitwa na wakati rejea kwenye ASILI yako kwa KUFIKIRI kwa AKILI YALO ya kuzaliwa siyo ya kuoandikizwa kama ROBOTI ,mistari ya biblia ni kifungo cha wafia dini kama wewe kinachokutaka upite mlemle wanamotaka wao kwa manufaa yao.Yohana 1:1-14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
The same was in the beginning with God.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
In him was life; and the life was the light of men.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
And the light shineth in darkness; and the darkness comprehended it not.
[6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
There was a man sent from God, whose name was John.
[7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
The same came for a witness, to bear witness of the Light, that all men through him might believe.
[8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
He was not that Light, but was sent to bear witness of that Light.
[9]Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
That was the true Light, which lighteth every man that cometh into the world.
[10]Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
He was in the world, and the world was made by him, and the world knew him not.
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
He came unto his own, and his own received him not.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
But as many as received him, to them gave he power to become the sons of God, even to them that believe on his name:
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Which were born, not of blood, nor of the will of the flesh, nor of the will of man, but of God.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.
Wewe unamjua nani kama sio Baba yako na Babu yako ambao pia uliaminishwa kuwa ndo Wazazi wako!Awezaye kumjua nani bila MUNGU?
Yaani MUNGU akuwezeshe kumjua yesu na ukoo wake na aache kukuwezesha kuwajua WAASISI/WAZAZI WAKO waliokuzaa na kukuleta dunia ,una akili wewe kweli??
Kama kuna watu wamefanya kazi ya kitume kwenye hii debate basi ni wewe kiongozi.Yesu Hakuzaliwa na Baba Kwa Mujibu wa Quran na Biblia..
Na Huo ndo Muujiza wake wa Kwanza..
Ila alizaliwa na mama..
Ila alikuwa na Baba Mlezi ambaye Dunia Kipindi hicho Ilimfahamu Kama Yusufu..
Mungu anayeweza Kuvaa Mwili wa Mwanadamu ambaye anakiri yeye Mwenyewe Ni Dhaifu Ni Mungu ambaye SI wa kweli..
Labda kama tukizungumzia Mythology mbalimbali Nitakubali ndiyo Kuna Mungu kibao waliwahi Kushuka Duniani na Kuchukua Miili ya Kibadamu
Greek Mythology
Zeus –alivaa Mwili wa Mwanadamu Muda Mwingi sana Na Kuja Kukaa na Wanadamu na Kuoiga Sttory za hapa na Pale
Apollo & Hermes – Walionekana katika umbo la kibinadamu kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusaidia au kuadhibu wanadamu... na Mara Nyingu Ukiangalia Story za Yesu zinaangukia kama Apolo
Dionysus – Mungu wa divai huyu alijitokeza kama mwanadamu mara Kadhaa..
Hindu Mytholog
Vishnu – Mungu katika mfumo wa avatars (miili ya kibinadamu), Vishnu alikuja kama Krishna, Rama, na Buddha ili kurekebisha usawa wa dunia mara kwa mara..
Mythology ya Kichina
Guanyin – Mungu wa huruma, mara nyingi alikuja kama mwanamke wa kawaida kuwasaidia watu wenye matatizo.
Huangdi (Yellow Emperor) – mfalme mwenye asili ya kimungu aliyekuja duniani kuleta ustaarabu.
Mythology ya Kimesopotamia (Sumerian, Akkadian, Babylonian)
Anu, Enki, na Enlil – Miungu waliokuwa na uwezo wa kuja duniani na hata kupata watoto na wanadamu.
Gilgamesh – Story yake huyu jamaa Huwa natabasamu maana ni Biblia Tupu huyu alikuwa binadamu, mwenye asili ya kimungu
Mythology ya Norse
Odin – Alichukua umbo la mzee wa kawaida akija kwa wanadamu kuwajaribu au kuwapa maarifa.
Sasa Mkuu Hao ni Baadhi Ila Kuna Mythology Kibao Kuhusu Ulichokitaja..
Mungu anayechukua Uwezo wa Binadamu na Umbo La Kibinadamu anapatikana kwa Wapagani Peke Yake
Ibilisi ni kiumbe wa roho unafiri anaweza kuchoma na moto unaofikiria.(Ufunuo 20:14-15)
Mauti na kuzimu zikatupwa Katika lile ziwa la moto.
Hii ndiyo mauti ya pili, yaani Hilo ziwa la moto.
Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa Katika KITABU CHA uzima, alitupwa Katika lile ziwa la moto.
Wazazi wako kwa ushahidi upi? Nambie hao ulio nao ni Wazazi wako kwa ushahidi upi?Achana na huu UJINGA NA UTUMWA uliolitwa na wakati rejea kwenye ASILI yako kwa KUFIKIRI kwa AKILI YALO ya kuzaliwa siyo ya kuoandikizwa kama ROBOTI ,mistari ya biblia ni kifungo cha wafia dini kama wewe kinachokutaka upite mlemle wanamotaka wao kwa manufaa yao.
Hivi mwenye akili timamu atamtanguliza yesu na biblia na kuwaacha WAZAZI wake kama wewe,kweli?
Huyo yesu alijitambulisha kwako au kwa wazazi wako kuwa yeye ni neno?na ilikuwa lini na wapi ndani ya Afrika hii??Neno Mungu ni neno lenye maana nyinyi kutokana na imani ya watu!
Hata Wahindi,Wachina na jamii za kiafrica zina Mungu!
Yesu Kristo alijitambulisha kama Neno ndo maana kitabu cha Mwanzo kinaelezea!
Hapo Mwanzo alikuwako Neno naye Neno alikuwako kwa Mungu na bila Yeyo halikifanyoka jambo lolote!
Biblia na Quran zina mkiri Yesu kuwa ndiye Neno kwa maana bila yeye hakuna kitu kilichofanyika!
Yesu=Neno=Mungu.
Yesu ni Mungu alifanyoka Mwanza akavaa mwili!Kama kuna watu wamefanya kazi ya kitume kwenye hii debate basi ni wewe kiongozi.
Hizi mada za Yesu kuwa Mungu zinakuwa nyingi humu. Jana nlijitahidi kureason na waswahili wenzangu nikaishia kutundika daluga na kuacha waamini kile wanachopenda.
Yesu mwenye anawakataa,the book of Matthew, kipindi Yesu anauliza wanafunzi wake kwamba huko wanasema mimi ni nani?(Simon Peter alitoa jibu ambalo yeye mwenyewe Yesu anasema ama kweli wewe umefunuliwa na Mungu na ndio Yesu kumpatia Simon Peter ahadi ya kulisimamisha kanisa na kumpa mamlaka)
Simon Peter hakusema Yesu ni Mungu(majibu aliyotoa yanapatikana katika book of Matthew chapter 16 Verse 16)
Sasa kama Yesu anakubali kwamba he is son of God,hizi hoja za kusema yeye ni Mungu zinatoka wapi?(ndio kulikuwa na revelation nyingi kabla ya Yesu kuzaliwa kwenye vitabu vya Daudi(psalms) kuna ufunuo wa Yesu,the book of prophet Isaiah.Lakini baada ya kufika majibu ya yeye ni nani si kakupatia au wanaosema Yesu ni Mungu wanaliotoa wapi wakati yeye kashakubali kwamba ni son of God)
Is son equals to the father?
If Jesus is God,why did he say father forgive them on the cross?
Hakuna elimu humuWewe endelea na unachokiamini! Maana tuko kwenye ulimwengu wa elimu nyingi na kila mmoja abaki na anachoamini!