Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Pia elewa swali langu kama yesu ni Mungu kwanini aitwe tena yesu asibakie kuitwa Mungu na kwanini mama yake yesu huyo bikra mariam amzae yesu ambaye ni Mungu ikiwa mariam ni mtoto wa Mungu?

Unafikiri kweli wewe??
 
Mambo mengine ni kupoteza muda tu,

Mwamini Yesu kwanza Kisha mambo mengine yaendelee.

Kuzimu ni halisi, na upo moto, utaenda huko usipomwamini Yesu Pakada
Unaniambia Mimi habari za YESU KRISTO? Wewe niite nije kukuongoza Sala ya Toba na kukubatiza kabisa
 
Awezaye kumjua nani bila MUNGU?

Yaani MUNGU akuwezeshe kumjua yesu na ukoo wake na aache kukuwezesha kuwajua WAASISI/WAZAZI WAKO waliokuzaa na kukuleta dunia ,una akili wewe kweli??
Leo Iddy umeamua kuitumia vizuri kunywa ulanzi ndio maana hujui unasema nini
 
Bado hoja zako hazina mantiki maana kichwa chako kimelishwa taarifa na kuziamini!
Baki na imani yako kwa Mababu ambao hawako tena kwenye uso wa dunia!
 
Mpumbavu na mjinga usiyekaa ujitambue unasema yesu ni mwana wa Mungu halafu tena unasema ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu,which is which?

SHIT HOLE, YOU!!
 
Mpumbavu na mjinga usiyekaa ujitambue unasema yesu ni mwana wa Mungu halafu tena unasema ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu,which is which?

SHIT HOLE, YOU!!
Basi wewe endelea kuabudu minimum ya Babu yako ila ipo siku utajua ukweli!
 
Pia elewa swali langu kama yesu ni Mungu kwanini aitwe tena yesu asibakie kuitwa Mungu na kwanini mama yake yesu huyo bikra mariam amzae yesu ambaye ni Mungu ikiwa mariam ni mtoto wa Mungu?

Unafikiri kweli w
 
Leo Iddy umeamua kuitumia vizuri kunywa ulanzi ndio maana hujui unasema nini
Wewe sema unachokijua hapa sasa leo siku ya iddy

Ila na kukumbusha tu hakuna siku ya iddy wala yesu bali ni ujinga umekutawala na kukaririshwa hivyo kulingana na upeo wako mdogo wa kufikiri,hivi kweli hadi unafika humu jf hujaweza kuitambua siku ya WAZAZI wako ila ya iddy tu??
 
Mpumbavu na mjinga usiyekaa ujitambue unasema yesu ni mwana wa Mungu halafu tena unasema ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu,which is which?

SHIT HOLE, YOU!!
Ushahidi kwamba Yesu ni Mungu umeuleta wewe mwenyewe...maana kama ni mtu akili zake zingekua kama zako kwamba kuww mtoto lazima upime DNA(Akili ya nyani kama wewe). Ila hata mimi ni mtoto wa Mungu ila duniani nina baba...usilete logic ya kinyani kwa Mungu wakati Ukisema Mungu unatakiwa ujue kila kitu kwake kinawezekana...so shida sio Mungu, shida wewe kuamini kama inawezekana
 
Kama kweli nina mwamini Yesu, nikijaribu kukushawishi kuwa yupo ninaweza kuwa ninakosea...wala sitaki kukushawishi chochote...wewe pengine unaweza kujibu maswali ambayo yamewashinda wana sayansi...ni maisha yako usisahau kuenjoy tu
 
Huyo unahangaika nae! Yeye anataka tuabudu mizimu ya Mababu zetu ndo aje hapa anachekelea kuwa tunajitambua!
Hajui kuwa hata miaka na calendar zinatambua uwepo wa Yesu na ukimuuliza anakwambia mwaka huu ni 2025.
Kwa nini asifate miaka ya Babu zake!
 
Bado hoja zako hazina mantiki maana kichwa chako kimelishwa taarifa na kuziamini!
Baki na imani yako kwa Mababu ambao hawako tena kwenye uso wa dunia!
Mimi na wewe nani kalishwa taarifa za kuzimu tena zisizo zake?

Mimi namjua BABU na BIBI yangu na nimewaona na kuongea nao na walipozikwa wote napajua na huwa naenda kuhiji na kuomba na kufanikiwa ,je kati yangu na wewe unayeamini yesu ambaye humjui,hujawai kumuona,kuongea nae wala kaburi lake hulijui yuko sahihi?

Huyo yesu,bikira mariam,isaya,mathayo,nk unaowaamini na kuwaabudu je wako kwenye uso wa dunia?

Ifike kioindi mkubali kuwa wafia dini za kuja wote wa kiafrika hamna akili na ni mambumbu kweli msiyojua mbele mbakoenda wala nyuma mnakotoka
 

Sasa basi Imani ya Utatu imetupiga kamba kwa sababu inasema The Father and the Son are two Separate entities


Mafunzo ya Utatu yanasema kuwa BABA siyo Mwana na Wala Siyo Roho Mtakatifu, ni three separate persons.

Mwana ana mapungufu mengi ikiwemo hajui muda wala saa ya siku ya hukumu, anasali kwa BABA, Katumwa na BABA, anaomba msaada kwa BABA.

Kwa sifa hizi Mwana hastahili kuwa Mungu maana ni mwenye madhaifu mengi!. Mungu yu mkamilifu hana pungufu hata moja!

Imagine mwana anapewa mtihani hadi na shetani, sasa Mungu gani anajaribiwa na shetani?.
 
Hello brother in Christ! Jesus is not God.

The answer is in the book of Matthew chapter 16 verse 16(If bible is your reference in this debate)

Jesus acknowledged the answer that was given by Simon Peter that tells about Jesus being Christ and Son of God.Otherwise you're talking about another Jesus of your own creation.Thanks
 
Waliokuaa wanawaomba uliwaona kwa macho yako?
Babu na Bibi yako walipokuwa wanaomba mizimu na kutoa kafara uliwaona miungu wao?
Kwa nini uamini Babu na Bibi yako kuwa wako sawa wakati walikuaminisha tu na waliomba kwa Mungu asiyeonekana?
Wewe bado ni mjinga usiyejitambua!
Unaamini mambo kwa sababu ya Babu yako mfu aliyaamini!
 
Kama kweli nina mwamini Yesu, nikijaribu kukushawishi kuwa yupo ninaweza kuwa ninakosea...wala sitaki kukushawishi chochote...wewe pengine unaweza kujibu maswali ambayo yamewashinda wana sayansi...ni maisha yako usisahau kuenjoy tu
Ni wapi ambapo panatoa uthibitisho na wanasayansi kuwa yesu alijuwepo au yupo na anaishi?

Acha akili za kitoto bwana ni mwanasayansi aliyeletaajibu ya kisayansi kuwa yesu alikufa na kufufuka na hao wajinga wenzio mbaoabudu kuwa yupo na anaishi ndani yenu au atakuja kuwachukua mwende mbinguni?


Kwa akili hizo ni wazi MBWA ana thamani na akili mbele ya mzungu aliyekulisha ujinga uliomeza kuliko wewe
 
Wewe mwenye akili nipe udhibitisho binadamu ametokea wapi na akili zimetoka wapi...unajua kitu kimoja kuhusu wajinga kama nyie ni kwamba mnafikiri mnajua sana science. Ila science yako haijui binadamu asili yake ni nini, wala asili ya ulimwengu...wewe na wenzako wenye mapepo hamwezi kusema chimpanzee katokea wapi na hapo alipotokea nini kimepafanya...hamwezi kusema forces of nature zimetengenezwa na nani au asili yake na mwanzo wake ni nini. Ndio naana zinaitwa theory maana hamna mwenye ushahidi...sasa mimi naamini nyumba haijajijenga yenyewe lazima kuna mjenzi wewe unaamin imejijenga yenyewe alafu unataka nibishane na wewe...nitakua sitendei haki akili yangu
 
Nani alikwambia Ukristo ni Wawazungu?
Hiyo Sayansi yako haohao Wazingu unaowadharau ndo wamekuletea na wewe ukakariri na kujiona unajua sana!
Hizi Sayansi mbalimbali hao hao Wazungu ndo walileta hata hizi simu tunabishana humu bila Mzungu ungeweza kuipata?
Wazungu unaamini technologia zake ila Imani unayodai wameileta unaiita ujinga!
Unaona ulivyo Mpumbavu na usiye na akili?
 
Huyo unahangaika nae! Yeye anataka tuabudu mizimu ya Mababu zetu ndo aje hapa anachekelea kuwa tunajitambua!
Hajui kuwa hata miaka na calendar zinatambua uwepo wa Yesu na ukimuuliza anakwambia mwaka huu ni 2025.
Kwa nini asifate miaka ya Babu zake!

Kwa ujinga ulionao umeona kalenda ndiyo uthibitisho wa kuwepo na ni msaada kwako.

Ethiopia ni moja ya Waafrika eaofuata kalenda yao ulioswa na wewe kuwa na kalenda yako siyo kujisifu chini ya kivyli cha yesu.

Sijawahi kuandika humu kuwa mpumbavu kama wewe ufuate mizimu ya babu na bibi zako ila ninachokuandika ni uelewa wangu juu ya ASILI YA KWELI ya Mwafrika nje ya biblia unayoiamini na kuijua wewe na uliyoabdikiwa na mabwana zako na kuaminishwa ujibga.

Hivi kweli yesu angekuwa ni uhalisia wa kweli wa kwenda jwa MUNGU WA KWELI. mzungu angekuletea habari zake Afrika bure asikuuzie iwapo tu kwenda kwao ulaya unalipia?

Jitafajari!!
 
Huyo anadai ni Mwanasayansi na sayansibyake kwa sehemu kubwa wavumbuzi ni hao Wazungu qnaodai wameleta imani ya Ukristo kitu ambacho sio kweli maana Kristo sio Mzungu na hakuna ushahidi kuwa alikuwa Mzungu!
Ila imani ya Ukristo ambayo Wazungu walikuja nayo na kuineza Africa anaita ujinga na upumbavu!
Sasa mimi namuuliza anaona kiwango chake cha ujinga na upumbavu alionao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…