Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Duuh hii kali
 
BY the way mimi siishi Dar ila huko Kinondoni ulipopataja wamejaa sana ndugu zetu wa Moshi na Arusha na panasifika kwa sifa mbovu za umalaya, upunga na upunda.
 
Acha Umbea Mtoto wa kike, au wewe wamekukataa na mpk sasa hujaolewa?
 
Ingekua hii taarifa nimesoma sehemu nyingine ningeshtuka ila nimeisoma jf Wala hainipi shida
 
Kwamimi ninachojua kaskazini hatokagi fala, Niko napambana zangu uku mkoani adi raia wanasema watoto wa Arusha mnapambana,

sio vijana wa Arusha tu wanapenda hayo makodokodo uliyoyaorodhesha apo juu zungukia na mikoa mingine

Anyway ujana maji ya moto
 
Waache ni maisha yao ilimradi hawavunji Sheria za nchi
 
Arusha ipi unaizungumzia?Vijana wachapa kazi ndio majority lakini kama miji yote mikubwa wapo watu wa dili,Marios,madalali ,waongoza watalii na vibaka.
Sio tabia exclusive kwa vijana wa Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…