Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

Kuna jamaa yangu ana 30+ yeye sio kunyonya, anang'ata kabisaa hapa juu ya ukucha,
Kuna siku nikamtania, " wewe utamuambukiza mwanao" akasema "we unasema mwanagu? Nakati hata Babu yake mpaka leo ananyonya"

Nilichoka nikajiachia, Sijui inakua kwenye damu, kujiendekeza au kujifunza kwa mazingira unao waona.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ahsante
 
Shukrani sana mkuu
 
Oh, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hao balaa
 
Mkuu hata mimi wakwangu ana 3months namwona anadevelop tabia kama hiyo...

Mi namkaushia tu sa ntamfanya nini kichanga kama yule?! Yawezekana pengine hata mm nilikuwa hivyo make nakumbuka kishuleshule niliongoza kwa kutafuna pen...!!

Nilikuwa nabubuta pen inabaki kipisi hasa kipindi najisomea.
 
Ni kawaida MKuu,ila si fureshi kiafya,pakeni shubiri kwenye kidole atakikwepa mwenyewe.
 
Hili jambo kuna muda nahisi kama ni ugonjwa, Bro wangu Ana miaka zaidi ya 40 lkn kuna muda anajisahau ananyonya kidole hasa akiwa peke yake.
Inakela hasa mtoto wa kiume,kuna afisa wa jeshi naye ananyonya kidole mpaka leo imebidi tumzoee mtu miaka arobaini utamfanyeje sasa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Uzi ufungwe
 
Me mwenyew nikiwa tendoni napendaga sana kunyonya kidole, hasa kidole gumba, mpka demu wangu ananiita Mr kidole gumba๐Ÿ˜‹๐Ÿ™„
 
My first born alikuwa ananyonya kidole,Kuna siku nikashauriwa nimpake aloe Vera nikampaka,alivyokuwa macho aliogopa kukinyonya,alivyopitiwa usingizi akaanza kukinyonya,hamna siku roho iliniuma kama hiyo,nikamsafishia kidole chake nikamuachia aendelee.....

Alikuja kuacha akiwa na five nilikuwa namuelekeza kila siku Kwa upole kwamba anaharibu dental formula yake hivyo baadae atakuwa mbaya shuleni watamcheka akaanza kupunguza mpaka akaacha......na huwa ni watoto watulivu
 
Shukrani sana mkuu
Sawa, muhimu chunga sn dental formula huaribika na kuathiri uongeaji wake mzuri. Hata huyo mbunge ambae pia ni waziri akiwa anaongea utaona jinsi asivyopendeza kutokana na upper jaw dental formula yake ilivyoharibiwa na kula vidole udogoni. Wengi wao hayo meno ya mbele ya juu huwa mafupi kidogo kuliko mengine na mdomoni huenekana hovyo. In short, ni kumzuia tu. Hata wale walikuwa hawajui hili basi wajue hivyo.
 
Nimekupata vema kiongozi ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Anjela Kairuki
 

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna wengine hawaachi hadi wanakuwa watu wazima asee๐Ÿ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa wizara kubwaa au sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ