Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

Kuna jamaa yangu ana 30+ yeye sio kunyonya, anang'ata kabisaa hapa juu ya ukucha,
Kuna siku nikamtania, " wewe utamuambukiza mwanao" akasema "we unasema mwanagu? Nakati hata Babu yake mpaka leo ananyonya"

Nilichoka nikajiachia, Sijui inakua kwenye damu, kujiendekeza au kujifunza kwa mazingira unao waona.
 
Hata mdogoangu alikuwa anatabia hiyo akiwa mdogo Hadi anafikisha miaka 7 hapo faza akaamua amuachishe kinguvu alitumia mbinu hii na ilifanya kazi.

Alimwita Kama kumkatakucha mikononi harafu akamkata jeraha dogo kwenye kidole husika baada ya hapo akamuwekea bonge la bandeji katika hicho kidole baada ya wiki alipo itoa bandeji, dogo hajawahi nyonya Tena Hadi leo ana miaka 30.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahsante
 
Tatizo lipo. Meno yake ya mbele hasa ya juu hayatakuwa sawia. Nashindwa kuelezea vizuri ila kuna mbunge mmoja mwanamke na ni waziri nimemsahau jina, mweupe meno yake ya juu ni uthibitisho tosha kuwa utotoni alinyonya vidole. Huo ni uhakika 💯%. Uliza hata wengine watu wazima km mimi watakuambia hivihivi, ila kiafya hakuna madhara.
Shukrani sana mkuu
 
Kuna jamaa yangu ana 30+ yeye sio kunyonya, anang'ata kabisaa hapa juu ya ukucha,
Kuna siku nikamtania, " wewe utamuambukiza mwanao" akasema "we unasema mwanagu? Nakati hata Babu yake mpaka leo ananyonya"

Nilichoka nikajiachia, Sijui inakua kwenye damu, kujiendekeza au kujifunza kwa mazingira unao waona.
Oh, 🤣🤣🤣🤣🤣

Hao balaa
 
Mkuu hata mimi wakwangu ana 3months namwona anadevelop tabia kama hiyo...

Mi namkaushia tu sa ntamfanya nini kichanga kama yule?! Yawezekana pengine hata mm nilikuwa hivyo make nakumbuka kishuleshule niliongoza kwa kutafuna pen...!!

Nilikuwa nabubuta pen inabaki kipisi hasa kipindi najisomea.
 
Ni kawaida MKuu,ila si fureshi kiafya,pakeni shubiri kwenye kidole atakikwepa mwenyewe.
 
Hili jambo kuna muda nahisi kama ni ugonjwa, Bro wangu Ana miaka zaidi ya 40 lkn kuna muda anajisahau ananyonya kidole hasa akiwa peke yake.
Inakela hasa mtoto wa kiume,kuna afisa wa jeshi naye ananyonya kidole mpaka leo imebidi tumzoee mtu miaka arobaini utamfanyeje sasa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Haina shida mkuu. Hiyo inaitwa sucking reflex ambayo ni hali inayoanzia tokea mtoto akiwa tumboni, huanza kuanzia mwezi wa tatu wa ujauzito.

Wataalamu wanasema hali hiyo hujijenga ili mtoto atakapozaliwa aweze kunyonya. Ndio maana ukiona viumbe hai wengi hawafundishwi kunyonya auto tu akiipata chuchu anafanya yake.

So wanasema kitu chochote kikigusa (hard palate) sehemu ngumu juu ndani ya mdogo hiyo suck reflex inatokea ana anajikuta ananyonya.

Hiyo hali inaweza kuendelea kwa mtoto mpaka miaka kadhaa hata baada ya kuacha kunyonya.

I stand to be corrected.
Uzi ufungwe
 
Me mwenyew nikiwa tendoni napendaga sana kunyonya kidole, hasa kidole gumba, mpka demu wangu ananiita Mr kidole gumba😋🙄
 
My first born alikuwa ananyonya kidole,Kuna siku nikashauriwa nimpake aloe Vera nikampaka,alivyokuwa macho aliogopa kukinyonya,alivyopitiwa usingizi akaanza kukinyonya,hamna siku roho iliniuma kama hiyo,nikamsafishia kidole chake nikamuachia aendelee.....

Alikuja kuacha akiwa na five nilikuwa namuelekeza kila siku Kwa upole kwamba anaharibu dental formula yake hivyo baadae atakuwa mbaya shuleni watamcheka akaanza kupunguza mpaka akaacha......na huwa ni watoto watulivu
 
Shukrani sana mkuu
Sawa, muhimu chunga sn dental formula huaribika na kuathiri uongeaji wake mzuri. Hata huyo mbunge ambae pia ni waziri akiwa anaongea utaona jinsi asivyopendeza kutokana na upper jaw dental formula yake ilivyoharibiwa na kula vidole udogoni. Wengi wao hayo meno ya mbele ya juu huwa mafupi kidogo kuliko mengine na mdomoni huenekana hovyo. In short, ni kumzuia tu. Hata wale walikuwa hawajui hili basi wajue hivyo.
 
Sawa, muhimu chunga sn dental formula huaribika na kuathiri uongeaji wake mzuri. Hata huyo mbunge ambae pia ni waziri akiwa anaongea utaona jinsi asivyopendeza kutokata na upper jaw dental formula yake ilivyoharibiwa na kula vidole udogoni. Wengi wao hayo meno ya mbele ya juu huwa mafupi kidogo kuliko mengine na mdomoni huenekana hovyo. In short, ni kumzuia tu. Hata wale walikuwa hawajui hili basi wajue hivyo.
Nimekupata vema kiongozi 🙏🙏🙏
 
Anjela Kairuki
 
Kuna wengine hawaachi hadi wanakuwa watu wazima asee😀
 
Tatizo lipo. Meno yake ya mbele hasa ya juu hayatakuwa sawia. Nashindwa kuelezea vizuri ila kuna mbunge mmoja mwanamke na ni waziri nimemsahau jina, mweupe meno yake ya juu ni uthibitisho tosha kuwa utotoni alinyonya vidole. Huo ni uhakika [emoji817]%. Uliza hata wengine watu wazima km mimi watakuambia hivihivi, ila kiafya hakuna madhara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa wizara kubwaa au sio.
 
Back
Top Bottom