Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Sema hujui kuzitumia, km sio mtu wa mieleka utazijulia wapi kazi yake!!
Shanga, cheni zina umalaya wake.
Ukipiga mbuzi kagoma afu babe anakamatia shanga kiunoni zinampa support ya kupeleka moto awwwww šŸ˜‹šŸ˜‹šŸ˜šŸ˜
Hapo hata nyumba ishike moto hamsikii lolote
 
Wengine kwenye makabila yao huko Wanavaa ni Mila zao...
Ukiacha wale wanaovaa kimalayamalaya!
Kuna wanaovaa km urembo!
Kuna wanaovaa sbb mwanaume wake anataka(Nina rfk angu) mwanaume wake mtu wa singida ye mhaya ,alinunuliwa na mwanaume wake ndo alikuwa anataka,na anajua kuzitumia.
Mimi nilikua najua ni urembo tu kuna zina matumizi yake. Tupe somo mkuu
 
Back
Top Bottom