Itakuwa vita ya 3 ya dunia, and that is exactly what is going to happen.Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
Ni kwa sababu serikali yao sio puppet wa nchi za magharibi.Kwa nn Iran inashambuliwa na sio Misri, Pakistan au Iraq? Na kwa nn wakati huu? Umeshapata mda ukatafakari haya maswali?
Anataman kufanya hivyo ila hawezIlitakiwa Iran akafute haraka sana kabla maboss zake kuingia.
Akafute ka nnIlitakiwa Iran akafute haraka sana kabla maboss zake kuingia.
SawaNi kwa sababu serikali yao sio puppet wa nchi za magharibi.
Btw, umeitaja Iraq.
2003 tuliambiwa hivyo hivyo…..silaha sijui za maangamizi.
Wakati huo tuliopinga vita tulizisikia hoja hizi hizi kama hii yako.
Hatimaye ikawaje? Unakumbuka au ulikuwa hata hujazaliwa?
Eti ka IsraelAkafute ka nn
😆😆😆 sasa anafutwa yeye na iran itasambaratika vipande vipande baada ya ayatollah kuliwa kichwaEti ka Israel
Mtu arusha makombora 300 yanayo lenga tageti ni mawili tu tena apartment za watu.....ni vile Iran hakuna uhuru wa vyombo vya habari na hakuna internet, laiti picha za Tehran zingerushwa....ndio ungejua kuachia acha yako uchi kwenye vita vya anga ni kujimaliza.Endelea kujidanganya,kama leo Iran imeshindwa kuvurumisha missile zake huoni kuwa yeye ndio ana hali mbaya
Lakini ni kweli Israel imechapika nimeona hhadi Netanyalu ametembelea baadhi ya maeneo ambayo yameathirika na makombora ya Iran.Endelea kujidanganya,kama leo Iran imeshindwa kuvurumisha missile zake huoni kuwa yeye ndio ana hali mbaya
Sawa General wa jeshi la iran tumekuelewaWrite your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Kuchapika hayo majengo ya RAIA ambayo yatajengwa upya au kuchapika kijeshi?Lakini ni kweli Israel imechapika nimeona hhadi Netanyalu ametembelea baadhi ya maeneo ambayo yameathirika na makombora ya Iran.
Kuna muda inabidi tuongee tu ukweli