Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Israeli peke yake ni mtupu kabisa,,lkn USA akiingiza miguu yote miwili kumsaidia Israeli,nawahakikishia vita ya tatu haitaepukika.
 
kitu usichofahamu ni kuwa kwa historia ya Marekani warepublican ni watu wa vita
 
Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
China hatokuja kuingia kwenye hii vita, hii ni kwa maslai mapana ya uchumi wake.
 
China hatokuja kuingia kwenye hii vita, hii ni kwa maslai mapana ya uchumi wake.
China huwa anaingia kwa kutoa msaada wa kifedha na silaha.
Urusi nayo imesimama hadi sasa kwa msaada wa kifedha wa China na silaha.
 
Ndugu Marekani asogoe pale wala Mzungu yoyote Hypersonic missile ile Speed popote inatua Marekani Nchi za Ulaya!!!

wote washasoma mchezo kuwa ni Mgumu kwao!!!

Lkn kwann ni mguni

ISRAEL ndio Mtoto mwenye Akili zaid za Technology kwao wote kila jambo la Technology lazima Israel ajuzwe!!!

Mashilika yote ya kitechnology MAREKANI na ULAYA Magharibi ndani yake kuna Waisrael ,, !!!

manake mifumo yote ya AIR DEFENCE SYSTEM ya ULAYA na Marekan ni ISRAEL inausika kuitengeneza. !!!

Manake kabla ya ISRAEL kuanza Vita na IRAN ISRAEL imejiandaa kwa Technology zote kutoka popote wamekusanya pale ISRAEL !!!

ISRAEL ilijiamini mno kabla ya Vita sasa Ndugu tumeona Miji ya ISRAEL imegeuzwa kuwa GAZA miji mana sio mmoja au miwili Nimiji mingii ya ISRAEL IMefanywa kuwa GAZA !!!

sasa apo Unategemea nani mwengine akaonje Sumu ya IRAN.!!!

. Marekani kitechnology amnategemea ISRAEL !!!

ISRAEL mwenyewe yupo hospital ICU hoiii..!!

bora mumsubiri YESU anaweza kuja lkn sio Tramp au ULAYA kuja kumsaidia ISRAEL zaid watafanya kutatua mzozo kinafiki baada ya kuona Maji awayawezi,,!!!

Siku zote nawakumbusha Vita ni Technology sio kuwa na machumachuma mengiiìii.. !!!

ata T14 Armata kakimbia upya kwenye JF kwamuda najua nayy anamsubiri Tramp ndio aje upya kufanya Uchambuzi !!
 
Itakuwa vita ya 3 ya dunia, and that is exactly what is going to happen.

Russia na China wamewataka raia wao kuondoka Israel mara moja.

Iran walau kaonyesha kuwa mifumo ya ulinzi ya Israel na US inapenyeka.
Ukisikia speech ya trump ndo linaenda kutokea
 
Hauna ulijualo kakojoe ukalale
 
kwa namna yeyote ile Iran inatakiwa igeuzwe jangwa haraka iwezekanavyo kwa usalama wa dunia nzima maana huwezi kumwachia mtu mwenye matatizo ya akili za kidini amiliki silaha za nyuklia na wakati akimiliki kisu tuu anachinja hadi ndugu zake kupitia kivuli cha dini huku anasema takbir alah aqbaru
 
Huioni urusi na China nyuma ya Iran?, achilia mbali makundi ya kigaidi Kama Hezbollah, houth, islamic jihad na alqaeda (Kama bado wapo)
 
Sadly sio China wala Russia atakaemsaidia Iran!!! inasikitisha sana. ukweli ni kwamba Iran ndio mwisho wake hatutasikia tena sauti za Ayattola wala kuwa na nchi nzuri ile ya Iran, hawa mashetani wataiharibu yote kabisa...
 
Nipo pamoja nawe No america no Israel.
 
Kama israel ni mhim kuliko uchumi wa marekani aingie moja kwa moja kama wamarekani hawajamtoa white house
 
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
Sasa afanyaje walati watu wanamshambulia, mtu kaja uwani kwako na kisu, kavunja mlango utakaa tu kisa bado hujajua kareti, sasa hiyo kareti unaenda kujifunzia kaburini ama?
 
Kweli makomandoo wa JWTZ ndio mabingwa hakuna duniani, IDF inasubiri
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…