Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7



Trump being Trump, flaunting his Caesarean Rage. He has completely lost it 🤣🤣🤣​
 
Aliyekwambia USA hajawahi kuingia au kuhusika ni nani ?
 
Iran akiamua hii vita inaisha leo,afanye 2 things , aachane na nuclear program then aachane na nia yake ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, watamwacha na hakuna atakayemgusa na vikwazo vyote watamuondolea
 
Iran Haipendi ***** ***** Imetulia Tuli Yote Imemwachia Allah
Imekubali Yaishe Tu
 
Isipokuwa Makomandoo wa Mama!!
 
Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Niamini mimi marekani hatotia mguu iran labda aendelee kumtumia israel ila ye mwenyewe kutoka front ni ngumu
 
Kwa akili yako unaona umenikamata eh? 🤣🤣🤣

Ujinga ni kitu kibaya sana. Haya pata elimu kidogo.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…