Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

Sasa bila misosi misosi tuashije mkuu mimi nikikaa masaa mawili tu wadudu wa njaa wanaanza kuimba tumboni kwa hio lazima nile, sasa nitafanyaje?
Shida ndiyo inaanzia hapo........Kama issue ni njaa basi kula vyakula ambayo havina calories nyingi kula matango ,maepo ili kupunguza njaa.
 
Kopa anzisha ujenzi nyumba iishie kwenye madirisha halafu hela ikate
 
😂😂😂 kwanza angetuambia unene umehusiana vipi na yeye kujiona phaller? 😂
Mimi ni mnene ila sio fala mkuu nachukia sana mtu kuniona mimi fala
 
Mkuu usiangalie ladha angalia kupungua hivyo nilivyokutajia vichanganye kwenye maji ya moto subiri vipoe ndio unywe
Chia seeds zinapatikana kkoo
Unaziloweka kama kijiko 1 kwenye maji Unachanganya na smooth yoyote ya tunda unakunywa
Nilifikiri umekosea kuandika ukitaka kumaanisha chai. Kwa kweli Chia sizifahamu ndio nimesikia hili neno leo, hata muuliza swali anaweza kuwa hazifahamu, tueleweshe mkuu, ikiwezekana kwa picha kabisa
na we unauzito uliokithiri mkuu
Google chia seeds itakuletea kila kitu
 
Kunywa maji ya vugu vugu asubuhi baada ya hapo ule kidogo mida ya mchana najio kula kitu chepesi tu. Gym ya kupunguza mwili siyo kunyanyua vyuma,Fanya kukimbia na kuruka kamba
 
Hapa sasa nimekuelewa mkuu naweza nikachanganya hata na machenza si inakubarika tu vizuri au?
 
Kunywa maji ya vugu vugu asubuhi baada ya hapo ule kidogo mida ya mchana najio kula kitu chepesi tu.
Mimi nakula kawaida sana mkuu ila siwezi kukaa bila kula hofu yangu ni hio yaan nikishikwa na njaa lazima nile na njaa inashika muda wowote
 
Shida ndiyo inaanzia hapo........Kama issue ni njaa basi kula vyakula ambayo havina calories nyingi kula matango ,maepo ili kupunguza njaa.
Sawa mkuu hapa sasa nimekuelewa vizuri basi nitajitahidi kufanya hivyo
 
Jitahidi kufanya kazi kupitiliza na ule mda wakula nao pitiliza au panga.
Mwa mfano chai kunywa saa nne au tano msosi wa mchan kula saa saba unusu au nane na msosi wa jioni kula saa kumi na mbili jioni. Alafu jitahidi usiku usilale usingizi kabisa yaani ule mda usingizi unalukaba wee tafuta kazi isiku huo fanya usilale kabisa .kwa kifupi ishi maisha yaukuruta fulani jinyime kabisa utapungu.
Kingine usiku vaa nguo jepesi hakikisha unapigwa baridi ya kutosha.
Ulete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…