Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Bila shaka ww utakuwa Zainab mke wake maana sio kwa povu hili, mumeo mpigaji tu dada hana jipya usanii mwingi.Unamjua sana wewe ni mkewe?, acha tabia za ajabu kujifanya unamjua sana mwanaume mwenzako.Wewe hata jina kulitamka uwezi ila ujuaji.!! Nonsense
Ww ni chawa wa Awesu, Ni wakuja tu ndio wasiomjua huyo Wazir kwamba Ni mpigaji Hana uzalendo wowote ule
Duuh poleni sana wafanyakazi!Mradi wa A to Z Majitaka ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za Manunuzi:
1. Thamani halisi za Mradi ni T.sh 190,000,000/=
2. Serikali imepata hasara ya zaidi T.sh 400,000,000/=
3. Tumainiel tayari kalipwa zaidi T.sh 160,000,000/= kwa Mkataba hewa! Engineer Rujomba arudishe hizo hela za Serikali.
Wafanyakazi tutapiga kelele Hadi hatua ya Mwisho.
Dr. Masika Kama tayari hizi ni za uongo , Waiteni Waandishi wa Habari Mkanushe
Engineer Rujomba ni Mwizi:
Katika nchi hii ambayo serikali haiheshimu katiba wala sheria ninyi wapiga zumari wa AUWSA hamtafanikiwa kwa sababu watoa uamuzi ni sehemu ya uongozi wa Mamlaka. Sheria hufanya kazi pale tu viongozi hawakushirikishwa na siyo wanufaika wa ufisadi wenyewe. Hatua zingeweza kuchukuliwa kama vyombo vya dola vingekuwa huru lakini haviwezi kuwachukulia hatua yo yote wakubwa wao!Mkataba wa AUWSA na Tumainieli H. Mbwambo( Skilled Labour) wenye thamani ya T.sh 599,377,500/= kujenga mtandao wa Majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.
1.Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu Cha kuchimba na kufikia bomba T.sh 358,500,000/= umbali wa kuchimba = 8500m maana yake 1m inachimbwa Tsh 42,176/= badala ya T.shs12,000/=
2. Mkataba kutopitisha na Bodi ya Zabuni(Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2)&(3)
3.Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi( The Public Procurement (Amendment) Regulations,2016 - Section 91-Method of tendering for Non Consultancy Services
4. Guideline for Carrying out Works under Force Account, May-2020 section 15.3, 15.5 & 15.1
Wafanyakazi wa AUWSA na UMMA wa Watanzania unaomba kikao Cha kesho 22/12/2021 Kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi swali Hili liweze kujibiwa kwanini Engineer Rujomba na Timu yake hawakufuata taratibu za Manunuzi.
Bila shaka ww utakuwa Zainab mke wake maana sio kwa povu hili, mumeo mpigaji tu dada hana jipya usanii mwingi.
awrsu mzeee wa uber na bolt akiwa anaenda kwenye miadi yake ya ten percent ; faili lake lina hadi picha zake akivuta…
Mzee wa kukaaa kona ; chini ya muti na kapelo ahaaaa haaaaa
Eti naye anawaza kuwa rais aiku moja hivyo anataka naye pesa
Nchi hii ina wajinga wengi sana, tatizo ni umasikini wa kipato na fikra, umetufanya tujenge tabia ya kuchukiana na husuda