Mkataba wa AUWSA na Tumainieli H. Mbwambo( Skilled Labour) wenye thamani ya T.sh 599,377,500/= kujenga mtandao wa Majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.
1.Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu Cha kuchimba na kufikia bomba T.sh 358,500,000/= umbali wa kuchimba = 8500m maana yake 1m inachimbwa Tsh 42,176/= badala ya T.shs12,000/=
2. Mkataba kutopitisha na Bodi ya Zabuni(Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2)&(3)
3.Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi( The Public Procurement (Amendment) Regulations,2016 - Section 91-Method of tendering for Non Consultancy Services
4. Guideline for Carrying out Works under Force Account, May-2020 section 15.3, 15.5 & 15.1
Wafanyakazi wa AUWSA na UMMA wa Watanzania unaomba kikao Cha kesho 22/12/2021 Kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi swali Hili liweze kujibiwa kwanini Engineer Rujomba na Timu yake hawakufuata taratibu za Manunuzi.