Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Vijana kama hawa, wanatakiwa wapigwe life ban. Wanapost vitu havina maana yoyote.
 
Shida Iko wapi?
 
Kama shughuli yao inaisha saa 7 sioni shida kwasababu kuna masaa matano mbele kufikia muda wa mchezo
Nikweli kabisa ila sheria inataka uwanja usiwe na matumizi mengine zaidi ya maandalizi ya mechi ndani ya saa 72........
 
Hapo utakuta walishalipia gharama za huo uwanja zamani kidogo kwa hivyo wahusika hawataki kuzirefund hizo fedha.

Kwani viwanja si viko viwili? Kwa nini wasitumie kile cha zamani? Ni mipango tu ya hao maorganizer ambayo haieleweki.
 
Wanatumia vyote
 
Tujiulize tu hilo Jengo limejengwa kwa madhumuni gani ?

Tukipata jibu basi chochote kingine kinaweza kusubiri au kupangiwa sehemu nyingine iwapo kile kilichopangiwa matumizi husika ya Jengo kitatakiwa kufanyika....
 
N
🤣🤣🤣🤣🤣 Asante mkuu kwa kunichesha leo. Mimi sioni umuhimu wa hao wavaa makobaz kuwepo wakati viwanja vipo vingine level zao
Ni kujiendekeza tu...ila ni jukumu letu kuwaelimisha taratibu taratibuu...yawezkana wakatuelewa
 
Hapo utakuta walishalipia gharama za huo uwanja zamani kidogo kwa hivyo wahusika hawataki kuzirefund hizo fedha.

Kwani viwanja si viko viwili? Kwa nini wasitumie kile cha zamani? Ni mipango tu ya hao maorganizer ambayo haieleweki.

Ratiba ya mashindano ya Qur'an itakuwepo pale pale, ikiwezekana masaa 24, hilo litimulao wapeleke huko azam complex n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…