Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Utakua hujui au kuna Kitu unafichwa:
Miongoni mwa mambo yanayofanywa viwanja vya Mpira ambayo sio mpira wa Miguu Dunia Nzima na si Tanzania tu.
1) Michezo ya Rugby
2) Sherehe za Kitaifa (Uhuru, Muungano n.k.)
3) Matamasha ya Muziki
4) Ngumi za kulipwa
5) Mashindano ya Riadha/Mbio
6) Kufanya maonesho ya Silaha za Kivita na Gwaride.
7) Mashindano mbali mbali yakiwemo hayo ya Qur-an.
SWALI KWAKO: Ni kweli hujawahi kuona popote uwanja wa Mpira kufanyiwa shuhuli yoyote isiyokuwa ya Kimpira au umeamua kuficha ukweli hata ukasema ule ni uwanja wa mpira na sio wa Dini?
Vijana kama hawa, wanatakiwa wapigwe life ban. Wanapost vitu havina maana yoyote.