Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heri weny
Mathayo 5:9
Heri walio wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.
 
Mwaka huu mmeshikwa pabaya na mmedhihirisha kwamba hilo siyo kanisa bali genge la wahuni
 
Padre Kitima ni Kada wa Chadema na kwa sasa ni mpambe wa Lissu inajulikana siku nyingi sawa na Askofu wa sasa wa Dar kwa hiyo ni sawa tu ila waache kuwa wanatusemea waumini wote wa RC as if wote ni wafuasi wa Chadema.

..Na Kardinali Pengo ni chawa wa Ccm.
 
RC ni zimwi kuubwa ambalo ata mtawala awe mvaa kobazi lazima ali rambe miguu
 
Kwa nini mapadri Kitima na Dk. Slaa ndio wanaendesha crusade dhidi ya Mbowe?

Padri Kitima, pole sana, ulidhani mwenzako ana siri. Japo unataka wa dhehebu letu ndio akamate, lakini ndio hivyo sasa hana siri. Hii imetusaidia kujua kumbe upadri ni geresha tu, wewe ni kada mzuri wa chadema kwa hiyo inatakiwa uchukuliwe hivyo.

SSH unamshambulia sana, na hata Mbowe, kumbe siri kubwa ni kwamba hao sio wa Vatican.

Sasa hivi umemuachia padri mwenzako Dk. Slaa amshambulie Samia na Mbowe m-KKKT, nyuma ya pazia katumwa na kanisa kwa sababu Lissu ni mvatican, na mnataka Vatican ikamate chama
 
Kitenge ndiye amezusha habari za Dr. Kitima lakini Lissu hakumtaja Kitima.
Nami niliona kwa Kitenge kwamba Lissu amemtaja Padri Kitima kama aliyehusika na vikao vya siku 3.
Yeyote anayemjua Kitenge, amwambie atupatie video ya Lissu akitamka kuwa Kitima ndiye aliyekuwa nao kwa siku tatu.
Kama hakuna video,basi Kitenge na wote walioeneza habari hii ni wazushi na waongo wakubwa.
 
Daaaah!!!
Kweli umasikini wa akili + umasikini wa kipato ni = utumwa.
Pole mtumwa.
 
Kitima kama mtanzania ana-haki ya kuchagua upande
 
Kanisa linatakiwa kuwa neutral, lisiwe na mlengo wowote wa kisiasa.

Hili suala la Kitima kuwa mpanga mikakati wa Chadema na hata kushiriki vikao vyao vya siri, linatia shaka sana na kupunguza heshima ya kanisa.

Nashauri Kanisa limuondoe katika nafasi hiyo ili heshima yake, japo ni kidogo, ibakie
 
Jina lako Chiembe, yaani kisukuma ni Kichembe, vile viazi vinavyokaushwa juani... sasa wewe sikushangai, badala ya kukaushwa Juani umekaushwa ubongo.

Unadhani kanisa katoliki ni pango la wahuni eeh. Hiyo ndio taasisi inayoongoza dunia.

Gademaralasta
 
Kitima atafukuzwa tu, subiri uone,ole mshamba wa ng'wamagigisi bhebhe
 

unajisumbua sanaa, katoliki sio kanisa hilo unalolifikiria moyoni mwako.
katoliki sio moto wala vuguvugu.
mungu alishalitapika zamani
 
Ila hao wachunga kondoo wakishiriki vikao vya ccm ni halali. Shame on you
 
Kanisa la Katoliki wengi wao ni wasomi pale na maamuzi yao sio ya kukurupuka au kuchukua mawazo kwa wahuni na wayafanyie kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…