Hata ashinde huyo Msaliti wa nchi hawezi ongoza nchi yetu huyo Mbelgiji huyo labda aongoze hiyo Saccos yenu.Najua wewe ni mccm na katika huu mtanange mko upande wa Sultan Mbowe lakini ndiyo hivyo Lissu ataibuka mshindi tena kwa margin kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ashinde huyo Msaliti wa nchi hawezi ongoza nchi yetu huyo Mbelgiji huyo labda aongoze hiyo Saccos yenu.Najua wewe ni mccm na katika huu mtanange mko upande wa Sultan Mbowe lakini ndiyo hivyo Lissu ataibuka mshindi tena kwa margin kubwa sana
Mathayo 5:9Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA?
Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini namna imeripotiwa ni kama viongozi wa dini hawapaswi kufanya upatanishi.
==
View attachment 3195838
Katika tukio lililotokea jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amethibitisha hadharani kuwa Fr. Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), alihudhuria vikao vya siri vya chama hicho vilivyofanyika katika ukumbi mdogo wa Macapuchino ulioko eneo la kanisa, Msimbazi Centre, jijini Dar es Salaam.
Mwanzoni mwa mwezi Desemba, taarifa za ndani zilisambaa zikidai kuwa Fr. Kitima, Kiongozi wa juu wa Kanisa Katoliki, alihusishwa moja kwa moja na vikao vya CHADEMA.
Taarifa hizo zilizua mijadala mitandaoni, huku baadhi ya wadau wakitilia shaka ukweli wake na wengine wakihoji nafasi ya kiongozi huyo wa kidini katika siasa za vyama.
Hata hivyo, jana Lissu amekiri waziwazi ushiriki huo, akiondoa shaka kuhusu madai hayo ambayo awali yalionekana kama uzushi.
Ukaribu wake na Fr. Kitima unatokana na ukweli kwamba wote wanatoka kijiji kimoja mkoani Singida. Ukaribu huu, kulingana na vyanzo vya karibu, umesababisha Fr. Kitima kuwa mmoja wa wapangaji wakuu wa mikakati ya kampeni za Lissu na hatua za kuipinga serikali.
Uthibitisho huu umetajwa kama "kuvuliwa nguo kwa kanisa," huku baadhi ya wadau wakidai kuwa hatua ya Lissu kufichua ushiriki wa Katibu wa TEC katika siasa za vyama imeweka wazi mgongano wa maadili unaohusiana na nafasi ya viongozi wa dini katika masuala ya kisiasa.

Kanisa Katoliki linatakiwa kutoa tamko rasmi kufuatia kauli ya Lissu, ingawa mjadala mkubwa umeibuka mitandaoni, huku waumini na wadau wa siasa wanakosoa hatua hiyo kama kinyume na maadili ya kidini.
Tukio hili linaongeza mvutano kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika siasa za Tanzania.View attachment 3195839
Kwani huwa hawashiriki, unamdanganya naniAcha kujitia upofu makusudi. Hivi ingekuwa Lipumba na Maalim Seif wameenda kushiriki vikao vya siri Msikiti wa Umar AlFarouq BAKWATA Kinondoni I ungechukulia poa?
Mwaka huu mmeshikwa pabaya na mmedhihirisha kwamba hilo siyo kanisa bali genge la wahuniPadre kitima apongezwe endapo kama kweli alihusika kwenye suala hili. kupatanisha watu ni ibada takatifu ya kumtukuza Mungu, na kufarakanisha watu ni ibada ya Shetani. Padre kitima amefanya kazi ya Mungu, apongezwe, viongozi wengine wa kiroho waige mfano huu mzuri kutoka kwa Padre kitima
Padre Kitima ni Kada wa Chadema na kwa sasa ni mpambe wa Lissu inajulikana siku nyingi sawa na Askofu wa sasa wa Dar kwa hiyo ni sawa tu ila waache kuwa wanatusemea waumini wote wa RC as if wote ni wafuasi wa Chadema.
Nami niliona kwa Kitenge kwamba Lissu amemtaja Padri Kitima kama aliyehusika na vikao vya siku 3.Kitenge ndiye amezusha habari za Dr. Kitima lakini Lissu hakumtaja Kitima.
Daaaah!!!Kwa nini mapadri Kitima na Dk. Slaa ndio wanaendesha crusade dhidi ya Mbowe?
Padri Kitima, pole sana, ulidhani mwenzako ana siri. Japo unataka wa dhehebu letu ndio akamate, lakini ndio hivyo sasa hana siri. Hii imetusaidia kujua kumbe upadri ni geresha tu, wewe ni kada mzuri wa chadema kwa hiyo inatakiwa uchukuliwe hivyo.
SSH unamshambulia sana, na hata Mbowe, kumbe siri kubwa ni kwamba hao sio wa Vatican.
Sasa hivi umemuachia padri mwenzako Dk. Slaa amshambulie Samia na Mbowe m-KKKT, nyuma ya pazia katumwa na kanisa kwa sababu Lissu ni mvatican, na mnataka Vatican ikamate chama
Kitima kama mtanzania ana-haki ya kuchagua upandeKwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA?
Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini namna imeripotiwa ni kama viongozi wa dini hawapaswi kufanya upatanishi.
Hata hivyo ukifuatilia wote waliotoa habari hii maelezo yao ni copy and paste mwanzo mwisho kuonesha script waliyopewa ni moja.
Halafu kama kikao walichoshiriki ni kikao cha upatanisho kuna ubaya gani wao kushiriki? Maana yeyote waliyemuona na busara za kuwapatanisha ndiye aliyealikwa kwanini wahusishe na kuiponda serikali?
Lakini pia kama wanakemea uovu unaofanywa na viongozi serikalini kuna tatizo gani? Kwani kazi ya vyombo vya dini ni kusifia tu viongozi na serikali na siyo kukosoa pale wanapoona mambo hayaendi vizuri?
Hiki ndicho Lissu alizungumza
View attachment 3196312
==
View attachment 3195838
Katika tukio lililotokea jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amethibitisha hadharani kuwa Fr. Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), alihudhuria vikao vya siri vya chama hicho vilivyofanyika katika ukumbi mdogo wa Macapuchino ulioko eneo la kanisa, Msimbazi Centre, jijini Dar es Salaam.
Mwanzoni mwa mwezi Desemba, taarifa za ndani zilisambaa zikidai kuwa Fr. Kitima, Kiongozi wa juu wa Kanisa Katoliki, alihusishwa moja kwa moja na vikao vya CHADEMA.
Taarifa hizo zilizua mijadala mitandaoni, huku baadhi ya wadau wakitilia shaka ukweli wake na wengine wakihoji nafasi ya kiongozi huyo wa kidini katika siasa za vyama.
Hata hivyo, jana Lissu amekiri waziwazi ushiriki huo, akiondoa shaka kuhusu madai hayo ambayo awali yalionekana kama uzushi.
Ukaribu wake na Fr. Kitima unatokana na ukweli kwamba wote wanatoka kijiji kimoja mkoani Singida. Ukaribu huu, kulingana na vyanzo vya karibu, umesababisha Fr. Kitima kuwa mmoja wa wapangaji wakuu wa mikakati ya kampeni za Lissu na hatua za kuipinga serikali.
Uthibitisho huu umetajwa kama "kuvuliwa nguo kwa kanisa," huku baadhi ya wadau wakidai kuwa hatua ya Lissu kufichua ushiriki wa Katibu wa TEC katika siasa za vyama imeweka wazi mgongano wa maadili unaohusiana na nafasi ya viongozi wa dini katika masuala ya kisiasa.
Uthibitisho huu umetajwa kama "kuvuliwa nguo kwa kanisa," huku baadhi ya wadau wakidai kuwa hatua ya Lissu kufichua ushiriki wa Katibu wa TEC katika siasa za vyama imeweka wazi mgongano wa maadili unaohusiana na nafasi ya viongozi wa dini katika masuala ya kisiasa.
Kanisa Katoliki linatakiwa kutoa tamko rasmi kufuatia kauli ya Lissu, ingawa mjadala mkubwa umeibuka mitandaoni, huku waumini na wadau wa siasa wanakosoa hatua hiyo kama kinyume na maadili ya kidini.
Tukio hili linaongeza mvutano kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika siasa za Tanzania.View attachment 3195839
Jina lako Chiembe, yaani kisukuma ni Kichembe, vile viazi vinavyokaushwa juani... sasa wewe sikushangai, badala ya kukaushwa Juani umekaushwa ubongo.Kanisa linatakiwa kuwa neutral, lisiwe na mlengo wowote wa kisiasa.
Hili suala la Kitima kuwa mpanga mikakati wa Chadema na hata kushiriki vikao vyao vya siri, linatia shaka sana na kupunguza heshima ya kanisa.
Nashauri Kanisa limuondoe katika nafasi hiyo ili heshima yake, japo ni kidogo, ibakie
Kitima atafukuzwa tu, subiri uone,ole mshamba wa ng'wamagigisi bhebheJina lako Chiembe, yaani kisukuma ni Kichembe, vile viazi vinavyokaushwa juani... sasa wewe sikushangai, badala ya kukaushwa Juani umekaushwa ubongo.
Unadhani kanisa katoliki ni pango la wahuni eeh. Hiyo ndio taasisi inayoongoza dunia.
Gademaralasta
Kanisa linatakiwa kuwa neutral, lisiwe na mlengo wowote wa kisiasa.
Hili suala la Kitima kuwa mpanga mikakati wa Chadema na hata kushiriki vikao vyao vya siri, linatia shaka sana na kupunguza heshima ya kanisa.
Nashauri Kanisa limuondoe katika nafasi hiyo ili heshima yake, japo ni kidogo, ibakie
Ila hao wachunga kondoo wakishiriki vikao vya ccm ni halali. Shame on youKanisa linatakiwa kuwa neutral, lisiwe na mlengo wowote wa kisiasa.
Hili suala la Kitima kuwa mpanga mikakati wa Chadema na hata kushiriki vikao vyao vya siri, linatia shaka sana na kupunguza heshima ya kanisa.
Nashauri Kanisa limuondoe katika nafasi hiyo ili heshima yake, japo ni kidogo, ibakie
Iwe bhojo!Ila hao wachunga kondoo wakishiriki vikao vya machizi ccm ni halali. Shame on you
Tulia Mkuu huijui taasisi ya KatolikiKitima atafukuzwa tu, subiri uone,ole mshamba wa ng'wamagigisi bhebhe