Ni utapeli mkuu.Kiukweli hayo mambo na umri wangu nayasikia tu watu wanasema , bi mkubwa ana miaka 80 nae nilishawahi mhoji nae ana yasikia tu , na bibi yangu kazeeka hata kiswahili hajui vizuri nae nilimhoji nae anasikia tu wala hajawahi shuhudia π , labda tumuulize Mjusi Sharobalo
Maneuvering involve mind games illusionBora umwambie wewe
Mimi naishi katika mazingira ya ulimwengu ambao nikimueleza anaweza asiamini hata robo na yote ambayo now Ninayo yashuhudia wakati nahadithiwa zamani nilikuwa Nina Ona kwamba ni story tu za vijiweni
Nyieeee Dunia inatisha
Mungu hayupo ndio na huo sio uchawi halafu mungu na uchawi vinahusianaje !?Mkuu kuna mahali nliona na wewe unapinga uwepo wa Mungu, kinachonshangaza hapa una amini uchawi upo.... hii imekaaje mkuu
Hata mimi nimewahi kukaa na bibi yake baba kutaka dodoso kidogo kuhusu hayo mambo hakuwahi kuyaona, labda yalikuwepo sehemu zilizo kuwa na masilahi mapana zaidi kwa hao watu.Kiukweli hayo mambo na umri wangu nayasikia tu watu wanasema , bi mkubwa ana miaka 80 nae nilishawahi mhoji nae ana yasikia tu , na bibi yangu kazeeka hata kiswahili hajui vizuri nae nilimhoji nae anasikia tu wala hajawahi shuhudia , labda tumuulize Mjusi Sharobalo
Jamaa hataki ππEpstein alikuwa analala na watoto wadogo kama sehemu ya Ibada ya kishirikina.
Ndio hivyo inavyo fanyika kwamba ukitaka kufanyiwa unafanyiwa tu !? ππAcha blaaah blaah nyingi
Fanya ritual moja hapa vijana wa JF wawe matajiri kama epstein tuanze kutafuna watoto
Kipi chenye kuweza kumfanya mtu kuwa tajiri? Kwa sababu watu washafanya mengi, hata hao wenye kwenda kwa waganga ili kupata utajiri wengine ni kutokana na kufanya mengi tu ila bado hawajapata huo utajiri.Ndugu kufanya kazi kwa bidii haukupi tajir cc
Au sio !?Maneuvering involve mind games illusion
kaa na matajiri ujifunze mbinu sio uwe njaa kali/chawa utafungiwa viooKipi chenye kuweza kumfanya mtu kuwa tajiri?
YaniAu sio !?
Kwa kweli Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza
Nafikiri hata wasio amini uwep Mungu huwa pia wapo tofauti π€
Trick Toka Kwa nani !?Yani
No magic it's just a trick
Mtu anakuaminisha uwepo wa uchawi mpaka anataka kulia πNi utapeli mkuu.
A mind is mystery
Ndio maana watu wanaamini mara freemason wanasiliana na shetani sijui nini wala nini hakuna kitu kama hicho mkuu.
Hata umfukue babu kizaa babu atakuambia hivyo hivyo alivyokuambia bibi yako
Utaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upoMungu hayupo ndio na huo sio uchawi halafu mungu na uchawi vinahusianaje !?
Hizo mbinu ni za siri?kaa na matajiri ujifunze mbinu sio uwe njaa kali/chawa utafungiwa vioo
Nadhani ni kawaida watu wote wenye Akili kubwa kuonekana hawana Akili na watu wenye Akili ndogo so sikushangaiUtaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upo
Kwa mtu mwenye kufikiri sawa sawa, akiwa haamini uwepo wa Mungu hata uchawi pia atakua haamini.
Kuna kipindi nilikua napata sana half sleep paralysis, nikawa nikilala naona kama nakabwa na wachawi koromeo π , nilivyokuja gundua undani wa hicho kitendo akili ya kuona ni uchawi ikapotea, nikawa natulia tu na enjoy lucid dreamsπππ Atalia hadi afe.
Kama ana hasira afanye matunguri atuxhukue atupeleke marsa kabla elon muskk haajatia mguu
Tofaut na hapo ni muvi za kinaijeria
Hayo ndio mambo ya personal experiences, kuna watu hawaamini Mungu ila wanaamini uwepo wa ghosts na kuna watu hawaamini ghost ila wanaamini Mungu.Utaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upo
Kwa mtu mwenye kufikiri sawa sawa, akiwa haamini uwepo wa Mungu hata uchawi pia atakua haamini.