Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

The Mystery of Marilyn Monroe: The unheard Tapes

Mimi huwa namfananisha na Maddona na Sharon Stone
Madonna alikuwa obsessed sana marlyn kiasi kuna rumours, alikuwa akijifungia ndani akiangalia tapes za miss munroe Ila apate siri za kuwa na umaarufu mkubwa kama yeye 😁.

Ila madonna at least umaarufu wake una talent ndani yake. Huyo monroe ndio tabu, hakuwa outstanding actress wala singer 😁
 
Ndio hio nyota
 
Mkuu unajua maisha ya Ma-star... ? Opposite attracts na Birds of a Feather Flock Together.., (Na mengi yanafanyika chini ya kapeti) na hakuna Binadamu mwenye Hati Miliki ya Mwingine (even marriages don't last)

Sasa kama nyie kanisani au mashule au vyuo mnavyochanganyana na kukutana hapa na pale na kupigana vibuti na affairs za huku na kule ndivyo hivyo na hao walivyo (wapo kwenye pool moja kwahio sio ajabu kuona Msichana mmoja / au wanaume wa sehemu moja kutembea na mtu/watu walewale..., After all its not like its marriage (just affair)
 

Hizo pesa zinazoingia nani anachukua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…