Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

IMG_2486.jpg
 
The Mystery of Marilyn Monroe: The unheard Tapes

Mimi huwa namfananisha na Maddona na Sharon Stone
Madonna alikuwa obsessed sana marlyn kiasi kuna rumours, alikuwa akijifungia ndani akiangalia tapes za miss munroe Ila apate siri za kuwa na umaarufu mkubwa kama yeye 😁.

Ila madonna at least umaarufu wake una talent ndani yake. Huyo monroe ndio tabu, hakuwa outstanding actress wala singer 😁
 
Ndio hio nyota
 
Mkuu unajua maisha ya Ma-star... ? Opposite attracts na Birds of a Feather Flock Together.., (Na mengi yanafanyika chini ya kapeti) na hakuna Binadamu mwenye Hati Miliki ya Mwingine (even marriages don't last)

Sasa kama nyie kanisani au mashule au vyuo mnavyochanganyana na kukutana hapa na pale na kupigana vibuti na affairs za huku na kule ndivyo hivyo na hao walivyo (wapo kwenye pool moja kwahio sio ajabu kuona Msichana mmoja / au wanaume wa sehemu moja kutembea na mtu/watu walewale..., After all its not like its marriage (just affair)
 
Nguvu ya marilyn Monroe hadi leo watu hawajaweza kuielewa, imagine ni miaka zaidi ya 50 toka kifo chake lakini hadi leo yupo relevant kiasi cha kuwa moja ya mastar marehemu wanaoingiza pesa nyingi hadi leo [emoji1487]

Kwa wengi bado ni sex symbol na fashion icon, tuseme ni sepetu wa Hollywood. Yawezekana asiwe mzuri kuliko wote Ila ana star power iliyopitiliza

Hizo pesa zinazoingia nani anachukua?
 
Back
Top Bottom