Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Soon tu mtarudia wimbo wenu.
Mataga watabakia
 
Tutamuombea kwa Mungu amlinde dhidi ya mahasidi msio na sababu na mliojaa husdaa.
 
Ungeonesha ni wapi hilo kundi linamchafua Mh Rais tungekuelewa,lakini ulichokiandika ni taarabu iliyojaa mipasho pasipo na mifano ya kutetea hoja yako, Jumatatu shule zinafunguliwa,mrudi shule mtupunguzie mipasho humu!
 
Sikuelewi mkuu,mwanzoni nilikuwaje na sasa nikoje?Mimi Niko kawaida,Niko CCM,kamwe sitahama,sasa unaposemema akili Yangu imeanza kukaa Sawa sikuelewi
Namaanisha sasa hivi unaongea uhalisi na siyo kusifu na kuabudu mtu kama ulivyokuwa unafanya kipindi cha Jiwe, kingine kuwa mwana Ccm siyo dhambi au makosa lakini pia siyo tiketi ya kuwa mjinga, hapa namaanisha wale wanao behave kama headless chicken kisa tu wao ni Sisiemu/Mataga/Wanyonge
 
Mama samia piga kazi ,nakukubali sana,walanguzi na wahujumu uchumi watakutambua tu.
 
Kila mtu chaguo la mungu, huyo mungu hana kazi nyingine ni kuchagua tu viongozi wa ccm? Aisee.

Samia is the president by mistake , sio chaguo la watanzania wala la Mungu , asituchezee huyo Mtoa Mada na kichwa chake kama jeneza la mchawi mxieew
 

Raisi wa nani ? Ulimchagua wapi mbwa wewe??
 
Huna huo ubavu..urais wa peremende hauna misingi ndani ya mioyo ya watu..point blank.
Hehe hehe poleeee mlitaka yule muuwaji wenu aendelee kutuvimbia, Mungu fundi hawezi ona watu wake wanateseka sababu ya mbumbumbu mmoja.... Kwisha habari yake, Haya muongezeeni muda basi.... Na ule muda wa kukaa madarakani tunamuongezea mama.... Ukatili hauna nafasi awamu ya mama
 
Hawawezi uwezo wao ni mdogo upstairs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…