Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Hahaha mlizoea utelezi?

Ila nahisi changamoto huu ni mwaka wa uchaguzi
 
Ndiyo mambo yanapokuwa hayaendi sawa kama mwalimu lazima usumbue ,, mwalimu ni kiongozi by nature hivyo wengine kama mnaona sawa wafanyacho utumishi basi when it comes to teacher,, it's big NO !! ,We won't tolerate this..
Hahaha
 
Unaweza kuwa wewe ni mpumbavu kuzidi wote humu
 
Huu mchakato sio walimu tu hata wenyewe (utumishi) wamechanganyikiwa πŸ˜€

Walimu 200k, wanataka 12,000 ikipigwa written, wachukue 36,000 mara wote waliochukua ni walimu wa kiswahili πŸ˜‚

Au labda waandae pepa, interview ya kila somo. Hapo huenda wakafanikiwa. Tuwape muda. Hawakujua.
 
Hv kwa nini bado siku hizi watu wanasoma ualimu wakati ajira za serikali hamna.

Watu hatukuwahi kuwaza kusoma ualimu japo tulipata division one lakini tukasoma ualimu kwa sababu enzi za Jk tulikua na uhakika wa mkopo pamoja na ajira... Sasa mtu unakuja kuhangaika na ualimu ajira zenyewe hakuna na career yenyewe inadharaulika...

Ningekuwa madogo wa siku hizi ningerudi zangu kijijini Tukuyu nilime zangu ndizi, siwezi kuhangaika na usenge wa akina mama Samia wanawapelekesha daily....
 
Hakuna kuleta unyongee ,, yani sababu huna kazi basi ndyo uwe unadanganywa danganywa ovyo ovyo tu ??

Yani huyu aseme natakuajiri wa saba yule wa kumi,,, mwingine aseme hapana wakumi na mbili ???
Wewe una wenge lakini bahati nzuri wenge lako linaishia hapa kwenye keyboard. Nje ya hapa una unyonge. Subiri interview siku watakayoamua, hili huwezi kulizuia
 

Tulia broo pambana na mchuzi nyama ziko chini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika kuwa na subira hakuna anaemzidi mwombaji aliyehitimu miaka 15 au kumi iliyopita. Huyu akiongelea subra watu watamwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…