Mimi siku ya 5 leoDaah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Umetumia dawa gani?Pole sana, Mimi leo hali sio mbaya sana kwa sasa napenda kunusa kila harufu, naona ile hali yangu ya kawaida inarejea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatzo limewapata wengi kumbe, me bado hali ni ile ile. Natamani nipone fasta
Mkuu ulienda hospital?Hili tatzo limewapata wengi kumbe, me bado hali ni ile ile. Natamani nipone fasta
Sijaenda, hospital napaogopa saiv. Nakazana tu kufata ushauri wa wataalam
Jana nilipiga simu,wakaniambia hawawezi kunipima kwa sababu hii sio miongoni mwa dalili za Corona, kiukweli nachanganyikiwaSijaenda, hospital napaogopa saiv. Nakazana tu kufata ushauri wa wataalam
Hapa tunamaanisha kutokuhisi harufu yoyote totally ,Kwani mtu akiwa na mafua tu ya kawaida huwa hapoteze hali ya kuhisi harufu?.Au ndiyo kujitoa ufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hadi uzidiwe ndio utapimwa, mambo ya ajabu kabisaJana nilipiga simu,wakaniambia hawawezi kunipima kwa sababu hii sio miongoni mwa dalili za Corona, kiukweli nachanganyikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa siku 5 ni nyingi sana, maana mimi nlipata mafua ila yalipona ndani ya siku 2, tatzo la kunusa bado lipo. Not normal
Yani hadi pilipili siisikii ikawasha,dozi yangu Imekuwa malimao tu..Na kwa siku 5 ni nyingi sana, maana mimi nlipata mafua ila yalipona ndani ya siku 2, tatzo la kunusa bado lipo. Not normal
Hahaha serious mkuu? Basi tatzo lako ni kubwa, me chumvi na sukari naviskia. Ila baadhi ya vyakula siskii ladhaYani hadi pilipili siisikii ikawasha,dozi yangu Imekuwa malimao tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hadi pilipili siisikii ikawasha,dozi yangu Imekuwa malimao tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda hospital?Mimi sina mafua wala kikohozi lkn ni week ya pili sasa nimepoteza uwezo wa kunusa yaan sisikii harufu yoyote ile
ajabu sana,mi nilijua ukifika wanakupima corona kama ukihitaji ama kwa dalili,ila tofautiBongo hadi uzidiwe ndio utapimwa, mambo ya ajabu kabisa
Mtaani watu wana mafua na kifua sana,sa hivi karibu kila mti anaumwa hvyo.hata ukienda hospital unastaajabu wengi wanamatatzo common.Mimi sina mafua wala kikohozi lkn ni week ya pili sasa nimepoteza uwezo wa kunusa yaan sisikii harufu yoyote ile
Kuna mkaka tunafanya nae kazi, week 3 zilizopita alikua anaumwa na ukimcheki dalili baadhi zinafanana na za corona. Kaenda hospital wakamhoji kama alitoka nje ya nchi hivi karibuni, akasema hapana. Basi wakamwambia arudi home askilizie akiona dalili zinaendelea arudi tena hospital.ajabu sana,mi nilijua ukifika wanakupima corona kama ukihitaji ama kwa dalili,ila tofauti
Mwenzangu naogopa