Ukimkataa tu YESU, vita ipo mlangoni...Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.
Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,
Ni wa Milele na milele.
Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.
Amen
Ndo huyo huyo anayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya dhambi.Yesu huyu huyu, alie kua fundi seremala, ambae hao hao waisrail walimdhalilisha kwa kumtundika msalabani na kichupi tu? ama kuna mwengine?
Unahuzunisha sanaDini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
Wao ni kabila la yuda eskariotiukienda Israel leo ukikutana na muisrael yeyote pale tel Aviv muulize unatoka kwenye kabila gani kwenye Yale kumi na mbili atatoa macho mpaka utashangaa
Haya mbona mnawaita taifa la Mungu na wao wamemkataa mjumbe wake mixer na kumlamba viboko aka mijelediWote walimkataa Yesu
🔨🔨🔨Soma old testament nzima afu utaelewa Kama Mungu wa Israel hakuwa na upande. Soma story za Joshua walivyokua wanauwa watoto kwa wakubwa wanaume kwa wanawake wanabakiza bikra tu as slaves wa ngono afu ndo uje uniambie god of Israel all loving cjui Nini. Kila jamii Ina miungu Yao sema tu Israel kutawaliwa na Romans na Romans kutawala ulaya na ulaya kutawala dunia ndo story imekuwa Israel Israel wahindi wangetutawala tungekuwa tunaongelea kina brahma saa hivi. Religion is an accident of geography and history
Kwani wewe ukizaa mtoto akakukataa, inabadili UKWELI kuwa ni mwanao?Haya mbona mnawaita taifa la Mungu na wao wamemkataa mjumbe wake mixer na kumlamba viboko aka mijeledi
Wewe ni Myahudi?Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.
Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,
Ni wa Milele na milele.
Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.
Amen
[emoji316]Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
Cha kufurahisha Sasa, huku mitaani watu wanakauka saut kwa kuhuburi[emoji316]View attachment 2786199
Upuuzi huu umeutoa wapi?Nani alikudanganya kuwa israel inalindwa na marekani? Nani alikudanganya Mungu wa Biblia anawachukia wapalestina? Kupitia Yesu Kristo Mungu wa Biblia anapenda watu wote kwa upendo wa kufa msalabani kuonyesha kwa jinsi gani anawapenda watu wote! Swali la kukuuliza! Hao wapalestina wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Waislamu wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Jibu hapana! Kwahiyo pambana na hali zenu! Mtapigwa tu! Hata hivyo wakati utafika ambapo dunia nzima pamoja na huyo mmarekani watamchukia Israel na kujipanga kumuangamiza! Vita hiyo inaitwa vita ya 'Amaegadon' ambapo Yesu mwenyewe ndo atashuka kuwatetea Israel! Mleta mada tambua kuwa hata Israel ya sasa hawamtabui Yesu Mesiah kuwa alishakuja! Bado wanasubiri wakati alikuja wakamuua kwa kumsurubisha msalabani! Hizi nyakati za mwisho okoka!
Wote magaidi Si Israël si Hamas. Ndo maana mimi ninawalaani wote wawili.Wanaua watu wasio na Hatia. Ninalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya watu wasio na hatia,nilalaani Israël kwa kufanya mauaji kwa watu wasio na hatia.Mungu hayupo.
Hao Israel na wapalestina ni Magaidi kama walivyo Taliban, Al Shabaab, Al -Qeida, Boko Haram na Islamic state.
Duh..Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia?